nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Dah! Kweli kipenda roho.........!!! Na sura yake ile kama amestuka toka usingizini afu jino linauma.!!!? Mwe! Pendaneni
Mama V hajambo lakini?
Dah! Kweli kipenda roho.........!!! Na sura yake ile kama amestuka toka usingizini afu jino linauma.!!!? Mwe! Pendaneni
karibu sana SL. mia
Aka nimemwambia amtafute
mama ya jiji Madame B au hata wewe wezampokea,
baada ya hapo chatting inaendelea, yani tuspend hawaz kutaja viwanja 2?
Inahuuuu!
.....na mataa yakeeee.....!!!!!
mamito Ciello penda sana wewe ujue.
C/via kwa charminglady, penda sa nyie mjue???
Mwanamboka pale Buguruni (Im kidding). Tafuta mutu ya watu, papaaa ya muji, mutu yenye heshima hapo Asprin aka BABU aka ODM aka MKAGUZI aka ASALI YA JF tehe teh.
Mamito penda veve pia......
Umekwishaaaaaaaaa..........!!!!!!!!!!!
Twamjua sisi huyo.
Samaki hapishi chamboooo.......!!!!!!!!!!!
.......haihuuuuuuuu...!!!!!! babu weeeeeeee......
kama vp Ciello, mwambie huyo Nicas Mtei afungue sredi yake tusalimiane!!!!!!!!
Atuwacheeeeeeee........!!!!!!!! tujimwage kwa Chibolo wetu.
Twamjua huyo mzee wa mia.
Ukielekea Qibra tu.....!!!!!!
hatutakuona CC teeeenaaaaa.....!!!!!!
Ana Paka wake huyooooo.......
Akilia nyauuuuu.........
Me niko Poa,
Zanzibar hawajambo?
...sio kosa letu,wachina wametuharibu,kila kitu uchakachuziiii.....
penda chibolo weye?