weekend hii nakuja Dar.

weekend hii nakuja Dar.

Za masiku zilikuwa mbaya pacha bt vile nimeuona mwandiko wako hapa zimegeuka na kuwa nzuri sana!

Uwe unaniaga pacha wako jamani manake utaniuwa kwa mawazo na njaa mwenzio! Yaani ilibaki kidogo nianze kugoma kula kwa kukukosa!

Pole sana Pacha,
Japo kimwili tulikuwa hatuonani ila kiroho tulikuwa pamoja sana.
Yaani nilikumiss hadi nikakonda Pacha.
Btw: Nitonye hajambo?
 
Mwenzio nilikuwa nakuwaza mpaka naweweseka.
Daah pole sana husband! Ila mbona nilikuaga jamani? Au siku ile nakuaga kwa makiss na mahug ya ukweli ulikuwa ushapata moja moto eeh?


Usijali kipenzi, sahivi ntakuwa pembeni yako masaa ishirini na nne, siku saba zote, yan mpaka unichoke lol.
 
Pole sana Pacha,
Japo kimwili tulikuwa hatuonani ila kiroho tulikuwa pamoja sana.
Yaani nilikumiss hadi nikakonda Pacha.
Btw: Nitonye hajambo?

Nipo shemeji yako, aisee huyu pacha wako kuna siku ataniletea ugonjwa wa moyo maana mapingo ya moyo huwa yananidunda sana nisipomuona
 
Pole sana Pacha,
Japo kimwili tulikuwa hatuonani ila kiroho tulikuwa pamoja sana.
Yaani nilikumiss hadi nikakonda Pacha.
Btw: Nitonye hajambo?
Pole na wewe pacha wangu...tuongeze kula sasa ili kurudishia afya tuliyoipoteza kwa kumisiana lol...

nitonye mzima wa afya , vipi wifi angu kipenzi FP nae hajambo?
 
Last edited by a moderator:
Daah pole sana husband! Ila mbona nilikuaga jamani? Au siku ile nakuaga kwa makiss na mahug ya ukweli ulikuwa ushapata moja moto eeh?


Usijali kipenzi, sahivi ntakuwa pembeni yako masaa ishirini na nne, siku saba zote, yan mpaka unichoke lol.

Joto lako huwa nahisi niko peponi
Kweli apewe sifa aliyekutoa tumboni
Njoo karibu yangu unipe mahaba
Nakupenda sana sweetylady
 
Joto lako huwa nahisi niko peponi
Kweli apewe sifa aliyekutoa tumboni
Njoo karibu yangu unipe mahaba
Nakupenda sana sweetylady
Mwaaaaaa!

Nakupenda pia darling! Naja kipenzi wala usiwe na khofu.
 
Nipo shemeji yako, aisee huyu pacha wako kuna siku ataniletea ugonjwa wa moyo maana mapingo ya moyo huwa yananidunda sana nisipomuona
Yaani honey kwa jinsi nnavyokupenda nahisi siku ukipata ugonjwa wa moyo ntaanza kufa kabla yako!


Nisamehe dia sipotei tena!
 
Nipo shemeji yako, aisee huyu pacha wako kuna siku ataniletea ugonjwa wa moyo maana mapingo ya moyo huwa yananidunda sana nisipomuona

Aisee Shemu Nitonye, ngoja nikutonye kitu.. Huyu Pacha wangu yaani ni kila saa anakuzungumzia wewe arifu, mara Nitonye Hendsamu, mara Nitonye sijui nini.. Kwa ufupi ni amefika bei kwako ile mbaya. Ila asijue kwamba Nimekutonya kitu Mista Nitonye.
 
Pole na wewe pacha wangu...tuongeze kula sasa ili kurudishia afya tuliyoipoteza kwa kumisiana lol...

nitonye mzima wa afya , vipi wifi angu kipenzi FP nae hajambo?

Hajambo Bana, sema siku hizi haishi kunipa Presha.
Ametishia hadi kumpeleka mtu mwingine akatoe Mahari badala yangu.
Ndiyo niko kwenye mchakato wa kuiwahisha Mahari kabla sijawahiwa Pacha.
 
Mwanamboka pale Buguruni (Im kidding). Tafuta mutu ya watu, papaaa ya muji, mutu yenye heshima hapo Asprin aka BABU aka ODM aka MKAGUZI aka ASALI YA JF tehe teh.

Mukulu Mzee wa Rula... angalia usijeniuzia kibudu kwenye kiroba. Ushafanya upembuzi yakinifu kujua huyu mgeni wetu ni he/she?

STUKA muzee ya Rula..... THINK!!
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaaaa!

Nakupenda pia darling! Naja kipenzi wala usiwe na khofu.

Dah! Kweli kipenda roho.........!!! Na sura yake ile kama amestuka toka usingizini afu jino linauma.!!!? Mwe! Pendaneni
 
Aka nimemwambia amtafute mama ya jiji Madame B au hata wewe wezampokea, baada ya hapo chatting inaendelea, yani tuspend hawaz kutaja viwanja 2? Inahuuuu!

hahahahaha. Uwe unaangalia na wageni wa ku direct. Hyo username tu ni tishio. Sa ye atakuaje? Viwanja vyangu ye hataviweza... Itakuwa lawana mwanzo mwisho..
 
Last edited by a moderator:
Nilizoea viwanja vya jolly,ambiance, sunsiro,bilicanas na maeda clubs mlioko dar naomba mnijuze viwanja vikali kwa sasa!

Njoo mitaa ya kwetu buguruni kuna Makirikiri,Kena,Kayumba, Kimboka, Sewa e.t.c huku utakula bata na kuku wa uswahilini until you say No.
 
Back
Top Bottom