HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,949
- 102,723
SawaDST kama Una kifurushi cha compact Anza 220 next then next utaipata tu
Finally international break is overNipo sehemu nimekaa napata kinywaji huku tukipiga story na washkaji.
Yaani kila saa tunajisahau na kumwambia meneja aweke Super Sport 223 tuangalie mechi za EPL.
Hii wiki ya International break kwakweli inaboa sana na kuchukiza kwa sisi wapenda kabumbu la EPL.
Kwakweli sijawahi kuwa muumini wa mechi za timu za taifa, kamwe!