Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,352
- 4,099
Heri kwenu ninyi nyote mabibi, mashangazi na mabwana!
Hii tabia naiona imenifanya niwe na wasiwasi na rafiki yangu. Labda pengine ni hisia zangu na mawazo yangu.
Kisa kipo Hivi
Jamaa tulikuwa tunafanya nae kazi mgodi× na Mimi ndo nilkuwa trainer wake upande wa machine za drilling (uchorogaji)
Basi akajua kazi vizuri maana nilimpa madini yote na sikuwahi mbania kumpa machine bidii yake ndo ilimfanya ajue mapema japo yeye ni mkubwa ananizid miaka3 mbele.
Baada ya kujua basi yeye alifanikiwa kwenda nje na kwakweli hajawahi nisahau!
Yupo nje nchi za kiarabu huko ndo anapiga kazi.
Sasa amerudi mapumziko hivi karibuni. Tumekuwa tukipiga story kadhaa wa kadhaa kama kawaida sie ma men kuambiana fala, mseng* ni kawaida tu.
Wala sio kwamba umekasirka la hasha neno kama qumamae una liwa nk Huwa tunatumia bila mipka tukiwa wenyewe.
Shida kubwa ni hili neno analo niambia weekend hii anitoe out. Tena anasisitiza kabisa.
Nimemwambia mimi sie demu wala mwanamke lakini bado anasema siku hizi hata wanaume wanatolewa out kama kawaida.
Nimemwambia sihitaji hiyo out yake ni nikamwambia waarabu wamekuharibu fala wewe.
Naona kachukia baada ya kumwambia hivyo namimi sina shida ya out yake.
Nimewaza sana imagine wife asikie naambiwa au nimuage kuwa rafiki yangu ananitoa out week hii asee naamini nitazaralika sana.
Kwenu wadau ni Sasa?
Picha haiusiani na kilichoandikwa ni makanisa yalipo underground sehemu fulani.