ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,465
- 67,478
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahUmeikumbuka ile siku mpaka tukaenda kununua mafenesi Mkuranga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahUmeikumbuka ile siku mpaka tukaenda kununua mafenesi Mkuranga? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mwanaume hajawahi ridhikaMimi siku zote nasema mwanamke akiamua kutoa uchi kwa mtu yoyote hakuna cha kuzuia..
Kifupi mwanamke ni kiumbe ambaye hariziki haraka na alicho nacho
Alimwambia ale tunda hakuna zaidi aliongea🤣🤣🤣Kitu ambacho shetani alimwambia mwanamke siku ilee pale Bustanini ni fumbo kubwa sanaa...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh ...kigoma umefuata nini hukoHahahahaha kigoma kuna serena kwani?
Mwanaume , unatumwa P2 na mwanamke ambaye anaingia kwenye ndoa ndani ya wiki 2, ambaye ametoka kufanya ngono zembe na mwanaume mwingine...kwanini asimtume huyo aliyetoka kumtafuna?haileti picha nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ndiye mbabe wao aliyewaumba, kama utatumia zaidi akili zako bila ya kumshirikisha Mungu ni sawa na wewe uwe dereva unayeendesha gari bila ya kujua uwepo wa ajali ni wakati gani na utaweza kujiepusha vipi na hiyo ajali itayotokea wakati wowote.Sasa wenyewe wenye papuchi zao ndio wameamua kuzigawa kirahisi kama hautotaka kubadilisha hizo mindset za kujiona ni owner wa papuchi ambayo haipo mwilini mwako basi jiandae kwenda jela au ufe kwa shambulio la moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakatisha wanaume wenzio tamaa hahahahahahahaSasa wenyewe wenye papuchi zao ndio wameamua kuzigawa kirahisi kama hautotaka kubadilisha hizo mindset za kujiona ni owner wa papuchi ambayo haipo mwilini mwako basi jiandae kwenda jela au ufe kwa shambulio la moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unanitisha maana hii Ina include na wapenzi wetuKwenye 100 hakuna hata mmoja. Fanya utafiti wa kina kuhakiki hiyo Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekujibu jinsi inavyotakiwa, ndiyomaana wengi sana waliomuuliza kuwa "si yeye muhusika wa huo ujauzito? "
Sikukutumia nauli ukapanda ndege ya ATC kuja Dar hadi tulikaa pale Serena Hotel Posta 24hrs?Hahahahaha kigoma kuna serena kwani?
Inaonyesha ukibonga na wewe anakupa. Ili kukupooza. Coz umeshakua msiri wake tayari.Kwema ndugu zangu!!!
Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika.
Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya maswali ya apa na pale aka admit ametembea na mkaka (kachepuka) akiwa kwenye siku zake za hatari.
# why mapenzi ya siku hizi yamekosa uwaminifu!!
# Tufanye nin kuepusha haya yote
#Root cause ni nin!! tamaa, mwanamke, mwanaume, kampani zetu( marafiki), malezi au utandawazi wenyew. Ni nini hasa ndugu zangu tujaribu kunusuru ndoa, mahusiana pamoja na vizazi vijavyo
Ndonga mnaulizaga game ikiishaHata ndom hakutumia huyo dada naee[emoji849]
hiyo fala kama alikupa buyuKwema ndugu zangu!!!
Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika.
Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya maswali ya apa na pale aka admit ametembea na mkaka (kachepuka) akiwa kwenye siku zake za hatari.
# why mapenzi ya siku hizi yamekosa uwaminifu!!
# Tufanye nin kuepusha haya yote
#Root cause ni nin!! tamaa, mwanamke, mwanaume, kampani zetu( marafiki), malezi au utandawazi wenyew. Ni nini hasa ndugu zangu tujaribu kunusuru ndoa, mahusiana pamoja na vizazi vijavyo
So painful, So sad & So disappointing to get married.Kwema ndugu zangu!!!
Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika.
Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya maswali ya apa na pale aka admit ametembea na mkaka (kachepuka) akiwa kwenye siku zake za hatari.
# why mapenzi ya siku hizi yamekosa uwaminifu!!
# Tufanye nin kuepusha haya yote
#Root cause ni nin!! tamaa, mwanamke, mwanaume, kampani zetu( marafiki), malezi au utandawazi wenyew. Ni nini hasa ndugu zangu tujaribu kunusuru ndoa, mahusiana pamoja na vizazi vijavyo
Haiwezekanii mkuu...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna kitu ambacho waliongea si buree...Alimwambia ale tunda hakuna zaidi aliongea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kidume unakomaa na vikao vya arusi kubabeki. Magu kabana wana wote wamekimbia.
Afu watu wanapewa k kiulainnniiii