Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

Mwanamke anaweza akataman laki tano ya siku moja akasahau utu, mahali, pesa pamoja na huduma zote ulizompatia na unazoendelea kumpatia kipindi chenu chote cha mahusiano
Yawezekana ..lakini nature ya mwanamke ni kutoridhika siku zote
Mtu anaweza jitoa kwa vikubwa na kujali adi kumfungulia biashara ,mwingine anaweza mpa pole tuu ile ya siku akaonekana anafaa adi kupewa papuchi
 
Kwema ndugu zangu!!!

Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika.
Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya maswali ya apa na pale aka admit ametembea na mkaka (kachepuka) akiwa kwenye siku zake za hatari.
# why mapenzi ya siku hizi yamekosa uwaminifu!!
# Tufanye nin kuepusha haya yote
#Root cause ni nin!! tamaa, mwanamke, mwanaume, kampani zetu( marafiki), malezi au utandawazi wenyew. Ni nini hasa ndugu zangu tujaribu kunusuru ndoa, mahusiana pamoja na vizazi vijavyo
Brother mbona unavunja sheria ya bro code?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yawezekana ..lakini nature ya mwanamke ni kutoridhika siku zote
Mtu anaweza jitoa kwa vikubwa na kujali adi kumfungulia biashara ,mwingine anaweza mpa pole tuu ile ya siku akaonekana anafaa adi kupewa papuchi
Yani hawa viumbe sio kabisaa...!! Yani wanaonaga uchi ndo zawadi ya kipekee kuliko zoteee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anaweza akataman laki tano ya siku moja akasahau utu, mahali, pesa pamoja na huduma zote ulizompatia na unazoendelea kumpatia kipindi chenu chote cha mahusiano

Exactly ..unaweza mpa gari ukampa mtaji ,ila akaja toa penzi kwa boda boda ambae tuu huwa anampeleka sehemu kwa haraka kama haitaji gari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom