Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

Suala hapa siyo kuridhika, ni kujitambua na kujiheshimu. Wewe ungefanya hivyo?

Imagine, unajiandaa kwa harusi au niseme ndoa, (maana hizo harusi siku hizi ni sawa na kutafuta paja kwenye mwili wa nyoka), halafu unakubali kwenda kuchepuka, (na mguu wala haukuvikwa buti)!! Hivi madame, inaingia akilini kweli??

Nionavyo, mwanamke hana mapenzi na mchumba wake. Full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina kupepesa macho hiyo. Huo ndiyo ukweli Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ambayo wanaume wote tutakapo anza kuyachukulia Mahusiano ni jambo la hiyari na tukatambua kwamba mwanamke anaweza kumpatia papuchi mwanaume yeyote yule aliye mridhia

Basi huo ndio utakuwa wakati rasmi kwetu sisi kuacha kutaabishwa na mahusiano ....

Yaani waweza kukuta mwanaume anapagawa kabisa anaposikia demu wake kam-cheat utadhani ile papuchi ya demu wake huwa anatembea nayo yeye " ... Mtu ambaye ana miliki kitu chake katika mwili wake mwenyewe anaweza akamtunuku yeyote yule anapojisikia "

So wanaume tunapaswa kulitambua hili ili hata itakapo tokea tukasalitiwa basi tuyaache mambo yaende kombo yenyewe badala ya kuungana na kwenda nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika gani labda ndiye huyu huyu mleta mada aliyemtafuna huyo Binti kabla ya wiki 2 ya kufunga ndoa?
Mwanaume , unatumwa P2 na mwanamke ambaye anaingia kwenye ndoa ndani ya wiki 2, ambaye ametoka kufanya ngono zembe na mwanaume mwingine...kwanini asimtume huyo aliyetoka kumtafuna?haileti picha nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ambayo wanaume wote tutakapo anza kuyachukulia Mahusiano ni jambo la hiyari na tukatambua kwamba mwanamke anaweza kumpatia papuchi mwanaume yeyote yule aliye mridhia

Basi huo ndio utakuwa wakati rasmi kwetu sisi kuacha kutaabishwa na mahusiano ....

Yaani waweza kukuta mwanaume anapagawa kabisa anaposikia demu wake kam-cheat utadhani ile papuchi ya demu wake huwa anatembea nayo yeye " ... Mtu ambaye ana miliki kitu chake katika mwili wake mwenyewe anaweza akamtunuku yeyote yule anapojisikia "

So wanaume tunapaswa kulitambua hili ili hata itakapo tokea tukasalitiwa basi tuyaache mambo yaende kombo yenyewe badala ya kuungana na kwenda nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umemaliza kila kitu. Mguu 1 ndani mwingine nje. hawa viumbe ni kama unga wa ngano, unaponunuliwa dukani huwezi kujua kama utapikwa andaz, mkate, keki au donat. Hivyo yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema ndugu zangu!!!

Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika.
Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya maswali ya apa na pale aka admit ametembea na mkaka (kachepuka) akiwa kwenye siku zake za hatari.
# why mapenzi ya siku hizi yamekosa uwaminifu!!
# Tufanye nin kuepusha haya yote
#Root cause ni nin!! tamaa, mwanamke, mwanaume, kampani zetu( marafiki), malezi au utandawazi wenyew. Ni nini hasa ndugu zangu tujaribu kunusuru ndoa, mahusiana pamoja na vizazi vijavyo

Yani amekuomba wewe P2 badala aende kununua pharmacy? [emoji23][emoji23]..sema wewe ndio umachepuka naye akiwa na week mbili kabla ya kuolewa..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom