Week mbili kabla ya harusi eti anaomba P 2

Tatizo ni kutokujuana vizur kabla ya kuoana! Wanawake wengi ck hz wanaolewa kama fashen lkn wana watu wao wa pembeni ambao hawataki kuwaoa ila wanapewa mahaba tu! Dunia sasa imekwisha sana, wanawake wanajihusisha na uchafu wa kila aina na hii hutokana na marafiki wanaochagua kuwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwema ndugu zangu!!!

Ni mdada ninayemfaham, ana week mbili kabla ya kuolewa na mshikaji ninaye mfaham pia. Almost mipango ya harusi imekamilika.
Kilicho nifanya nilete uzi ni simu niliyopokea Jana usiku kutoka kwake akidai nimsaidie any emergency contraceptive kuzuia mimba isitunge. Baada ya maswali ya apa na pale aka admit ametembea na mkaka (kachepuka) akiwa kwenye siku zake za hatari.
# why mapenzi ya siku hizi yamekosa uwaminifu!!
# Tufanye nin kuepusha haya yote
#Root cause ni nin!! tamaa, mwanamke, mwanaume, kampani zetu( marafiki), malezi au utandawazi wenyew. Ni nini hasa ndugu zangu tujaribu kunusuru ndoa, mahusiana pamoja na vizazi vijavyo
Itakuwa alikuwa anatafuta mchango mnono wa Send Off.
 
Off course wengine wanafanya Kama fashion tu

Inasikitisha sana.
Inawezekana ulishamtumia na ukamnunulia P 2 ndio maana amekucheki wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eva alipewa miti yote ya matunda bustani ya edeni ale matunda kasoro mti mmoja tuu lakni aliingiwa na tamaa baada ya kudanganywa na nyoka. Tamaa ni asili yao ni kuwavua chupi kwa kwenda mbele

[emoji16][emoji16] mkuu umenifurahisha sana

Yaah hakuna namna ni kukabiliana nao tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom