bro,wanawake kuwaelewa ni ngumu sana,tunachokifanya ni kupiga mioyo konde tu maana hakuna silabusi ya hawa watu,no fomula .inabidi uzoefu tu utumike,kama nyani mzee vile aliyekwepa mishale mingi,ndiyo hawa wanawake.
mimi mwenyewe nipo dilema,nilimtongoza mdada mmoja kumbe alikuwa na mchumba wake,tukaendelea baadae akadai ni yule mwanaume ndiyo analazimisha ila yeye hana ishu sana moyoni,na kuna kipindi kama miezi sita alikuwa kampotezea mchumba wake. sasa tena jamaa anarudi kwa kasi,na demu nipo naye sana tu,so nimeamua kiume tu nimpunguzie mapenzi angalau anione simpendi ili nayeye arudi zote kwa mchumba wake..ni hivyo tu mkuu