- Thread starter
- #41
Hamna mkuu sijawai kua na uhusiano naye wowote zaidi ya Salam, aliyesababisha anipigie simu n rafik yake wa kike ambaye alimshirikisha ilo Jambo, rafik yake akanishirikisha pia katika harakati za kumsaidia rafk yakeThought something like that.
Anakuamini kiasi gani kukushirikisha kwenye secret kubwa namna hiyo? Kuna zako anazojua?
Au mlishawahi kuwa kwenye mahusiano (I mean the FWB kind of relationship).