Week end yangu ilikuwa mbaya

Week end yangu ilikuwa mbaya

Mi kwa kweli ilikuwa ni nzuri tu,
nilipata muda wa kusali,
kwenda kwaya na kwenye vikao vya kanisani
hivyo niliifurahia hii weekend.
 
Leo kwangu ni raha tupu.Huku raha kule raha.Mungu ni wa wote................
 
Mi yangu ilikuwa nzuri
nilikuwa kwenye tamasha huko temeka
but baadaye nikaambia kuwa mama yangu mzazi huko kijijini
ni mgonjwa sana, na wamempeleka mjini kwa ajili ya matibabu zaidi
hivyo najipangapanga namimi niende huko.
 
Poa mkuu,pole pia.
 
Back
Top Bottom