Week end njema wana jf

Week end njema wana jf

Sherehe tena?Kazi kuniangalia tu kuhakikisha sina njaa na niko komfotebo!

haina shida, nitakoroga na uji wa kisukuma, ninahakika utameza!
 
Mjumbe Elia, wk end njema....
Pia karibu tcc club chang'ombe!
 
heheh ankal umeimprove kweli siku hizi yaani unajua mpaka foreign currency?, keep it up
Nimeanza tuisheni pale British Council ya kiinglishi, Hashycool aligoma matokeo yake boda wamemrukia lugha haijui ananipigia simu niende kuwa mkalimani wake
 
Nimeanza tuisheni pale British Council ya kiinglishi, Hashycool aligoma matokeo yake boda wamemrukia lugha haijui ananipigia simu niende kuwa mkalimani wake

Hee mbona mie pia nasoma hapo hivi wewe ndo yule mkaka anaependeza kila siku???
 
Tukutane pale pa weekend iliyopita sawa.........................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom