Week end njema wana jf

Week end njema wana jf

Humu ndani naona kuna ubinafsi mwingi sana, ukikaribisha kwa kutaja majina sisi tusio namajina tunakaa kimya. Acheni ubaguzi, hata sisi tunajua outing karibisha wote, inawezekana hao uliowataja hawana mpango wala nini ila sisi tusiomo tungetokeza.

Ni mtazamo tu! take it easy
 
ha ha ha... Nyie watu... hamjui mnavyoniongezea siku za kuishi. I luv JF na watu wake wote...:smile-big:
 
Humu ndani naona kuna ubinafsi mwingi sana, ukikaribisha kwa kutaja majina sisi tusio namajina tunakaa kimya. Acheni ubaguzi, hata sisi tunajua outing karibisha wote, inawezekana hao uliowataja hawana mpango wala nini ila sisi tusiomo tungetokeza.

Ni mtazamo tu! take it easy

Caroline D; Nashukuru, pale mwisho nimemalizia na wote wana jf. But Thanks tupeane michongo basi
 
Yani we acha tu..natamani kulala mpaka ntakapopona ndo niamke!Umeenda kwenye paree ya sare na wakaree?
Aisee paree paree si unajua mimi odinaree halafu unajua nakumiss wikiendi hii nakuja kukutembelea
R
 
Ungejua nnavyojisikia vibaya!Ntakufinya....!

Kumbe umeiona nilikuwa nanong'ona na The Finest. vipi machungwa utakula? au tukachome sindano tu.
 
Mihangaiko ya vijijini imekuwa mingi bana nitapita kutembea upo lakini jino limepona moja kwa moja???

DA. MR anapenda mishikaki huyo.. jino linakaribia kupona analitonesha!
 
Kumbe umeiona nilikuwa nanong'ona na Fidel, vipi machungwa utakula? au tukachome sindano tu.

Mmh fanya malimao...that reminds me kesho ntapika uji wa tangawizi na malimao!Enhe mmemaliza kunong'onezana unijali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom