Week end njema wana jf

Week end njema wana jf

I guess I'm gonna be bored @ home, anyone bored who wanna hang out or chi chat can hola back....Surely let us hook up if possible

Njoo diamond jubilee kwanzia saa3 usiku,i promise u hautakua bored
 
wikiendi hii nitafanya mahubiri viwanja vya jangwani mnaombwa kuhuzuria. Pombe haziruhusiwi na wanawake mvae kiheshima. Alleluyah!
 
sasa hizi hela atatumia nani? aaargh pliiz bana unajua hizi hela zinaniongezea joto mifukoni aisee.

bora we joto, mimi nina aleji na mahela mengi. Nikiwa nazo nyingi natokwa vipele.
Weka mabarafu mifukoni udailuti joto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom