Kweli Nchi yetu haipo makini kwenye utendaji wake.Instead of creating a dynamic website wao wanaweka a blog halafu wanai-update 3 times in a year?!!It is a joke kwa ulimwengu huu wa habari.Sijui niseme weakness za ofisi ya habari Ikulu!Naam, hawa jamaa katika kuendeleza fan yao na kuthibitisha kuwa they are bunch of jockers wameamua kuja na BLOG badala ya website na of course blog yao iko hosted na blogspot...nadhani hii itakuwa ni mradi wa FREDDY MARO akisaidiana na LUHANJO na i suspect con-sultant wao atakuwa ni SALVA RWEYEMAMU... maana i dont think JANUARY could be part of this none-sense kwa sababu mara ya mwisho hii blog yao wameiupdate mwezi wa 5 na huu ni mwezi wa 8
http://mawasilianoikulu.blogspot.com/
nadhani tushajua kwa nini hawataki rais awe na website...maana watashindwa kuiupdate vilivyo
Whats so wrong kuwa na website ya ikulu kama hii
KENYA
http://www.statehousekenya.go.ke/
UGANDA
http://www.statehouse.go.ug/
RWANDA
http://www.presidency.gov.rw/
lakini ngoja kidogo pale wanasema ni "Directorate of Presidential Communication, President's Office of the United Republic of Tanzania, State House, Dar es salaam, Tanzania" kwa hiyo ni blog ya directorate ya communication na siyo ya ikulu yenyewe, please someone tell me its true. naweza kuchanganyikiwa
lakini ngoja kidogo pale wanasema ni "Directorate of Presidential Communication, President's Office of the United Republic of Tanzania, State House, Dar es salaam, Tanzania" kwa hiyo ni blog ya directorate ya communication na siyo ya ikulu yenyewe, please someone tell me its true. naweza kuchanganyikiwa
mkuu huyo january unajaribu kumtetea lakini is amaong of bogus pale state house......muulize nani anae update hili ji blog.....Naam, hawa jamaa katika kuendeleza fan yao na kuthibitisha kuwa they are bunch of jockers wameamua kuja na BLOG badala ya website na of course blog yao iko hosted na blogspot...nadhani hii itakuwa ni mradi wa FREDDY MARO akisaidiana na LUHANJO na i suspect con-sultant wao atakuwa ni SALVA RWEYEMAMU... maana i dont think JANUARY could be part of this none-sense kwa sababu mara ya mwisho hii blog yao wameiupdate mwezi wa 5 na huu ni mwezi wa 8
http://mawasilianoikulu.blogspot.com/
nadhani tushajua kwa nini hawataki rais awe na website...maana watashindwa kuiupdate vilivyo
Whats so wrong kuwa na website ya ikulu kama hii
KENYA
http://www.statehousekenya.go.ke/
UGANDA
http://www.statehouse.go.ug/
RWANDA
http://www.presidency.gov.rw/
Nadhani kaingia huko kwa mapenzi yake binafsiWakati huo huo rais ana face book pages zaidi ya 3!
1
http://www.facebook.com/people/Jakaya-Kikwete/1172949841
2
http://www.facebook.com/Kikwete
(cha ajabu mpaka Max Shimba naye rafiki yake)
na hii ndio twitter page ya kikwete
http://twitter.com/Kikwete
mkuu huyo january unajaribu kumtetea lakini is amaong of bogus pale state house......muulize nani anae update hili ji blog.....
-hivi january makamba ana cheo gani Ikulu? nini kazi zake ikulu? yeye kama mdomo wa jk lazima awe mbele kwenye utumbo wa blog hii.....
hivi nani alishwahi kuingia mule state house kwenye kitengo cha IT? ni aubu tupu.....hata internet cafe ya nyani ngabu ina afadhali.....
mkuu huyo january unajaribu kumtetea lakini is amaong of bogus pale state house......muulize nani anae update hili ji blog.....
-hivi january makamba ana cheo gani Ikulu? nini kazi zake ikulu? yeye kama mdomo wa jk lazima awe mbele kwenye utumbo wa blog hii.....
hivi nani alishwahi kuingia mule state house kwenye kitengo cha IT? ni aubu tupu.....hata internet cafe ya nyani ngabu ina afadhali.....
Yeah...exactly, hivi huyo January kazi yake nini hasa? Kuna hata job description ya kazi yake?
Atuambie followe wake GT.....Yeah...exactly, hivi huyo January kazi yake nini hasa? Kuna hata job description ya kazi yake?
labda uniambie kazi za january makamba ikulu ni zipi? au cheo chake ni kipi?Kwa sababu January hahusiki na mambo haya wahusika ni SALVA na mwenzie FREDDY MARO
Atuambie followe wake GT.....
maana mie nashangaa sana maana msemaji wa ikulu hajulikani mpaka sasa hivi....sio Salva,luhanjo wala january.....
-hii blog ipo siku nyingi yaani wanafanya kazi za zima moto.....sasa ona eti jk anatuuliza speech yake tumeionaje? nani kaandika speech?
labda uniambie kazi za january makamba ikulu ni zipi? au cheo chake ni kipi?
sijui mkuu......maana nijuavyo ana mkono wa mawasiliano hapo ikulu.......kwanza kubali kuwa hahusiki na hii website ya ikulu
hii ni kazi ya SALVA
sijui mkuu......maana nijuavyo ana mkono wa mawasiliano hapo ikulu.......
-hivi jk kule CISCO Google alikwenda kufanya nini? kuangalia mawaya ya network na ma screen eeh? maana alipkuwa akifungua mkongo wa mawasiliano alitoa mfano wa simu za video!
Kwa sababu January hahusiki na mambo haya wahusika ni SALVA na mwenzie FREDDY MARO
sasa unasema January ni bogus kisha unaliza ana cheo gani....wapi na wapi
tatizo pale kuna mi dinosaurs ambayo inaongozwa na akina LUHANJO na hawataki changes wao wako ok na status quo na hii ni aibu
nadhani next time JK akifanya Q&A na waandishi itabidi aulizwe vipi kuhusu website na huu mwaka wa 5 unaingia
Hahusiki na hii website..mkomalieni SALVA, FREEDY MARO na LUHANJO January ni mtu mdogo sana mle
you are barking at the wrong tree
narudia January hahusiki
muulizeni LUHANJO na SALVA ndio wenye majibu ya hii blog na website...Freddy Maro alileta jama zake watengeneze website lakini baadae ikaonekana yale yale ya kutaka kupeleka inflated prices nadhani hiyo ndi iliwaput off akina SALVA
wakati tunaendelea mmeona madudu ya website ya WAZIRI MKUU?
Ushaanza kumwonea binti wa watuHead of Vodacom Foundation Mwamvita Makamba B.
mwenyewe katulia tuliiii lakini wapi!!!
naona bado uko kwenye vitendawili na hadithi
na narudia mwacheni Mwamvita Makamba peke yake kama alivyo
Duh mbona wewe unapinga tu lakini utoi alternative? Huyo Mwamvita nani wako? Watu wanadiscus ili kupata trend ya kuendelea na mada wewe unasema umwacheni who are you?naona bado uko kwenye vitendawili na hadithi
na narudia mwacheni Mwamvita Makamba peke yake kama alivyo
hahahahahahaha damu nzito kuliko majiDuh! sina Comment!
Aaah, mbona umeshacomment sasa Mkuu?Duh! sina Comment!
JK and the media
Gabby Mgaya, 26th May 2009 @ 04:20, Total Comments: 5, Hits: 875
President Jakaya Kikwete loves the media and the media loves him, there is no doubt about that. In fact, the president of the fourth phase Tanzanian government has been closer to the fourth estate professionals to the extent of putting himself on first name terms relations with them than any other leader of independent Tanzania.
The president has always been friendly to the ladies and gentlemen of the pen for a very long time. Some old timers recall his close ties with some journalists since his University of Dar es Salaam days.
This relationship continued even after he got a job in the ruling TANU (later to become CCM) after finishing his studies. His friends in the media watched as the young Kikwete rose through the ranks from a junior CCM cadre to member of the partys National Executive Committee.
The fraternity watched as he went on to become MP for Bagamoyo, then MP for Chalinze, deputy minister and minister. Despite his remarkable and impressive path to national leadership, Kikwete remained closer to the media.It is the media that Mr Kikwete chose to break news of his intention to contest for the Union presidency at Kibaha.
From day one, when he made his announcement to contest, to his partys screening and nomination processes, the media decided to turn to a long time friend as the saying goes: One good turn deserves another. This does not mean, however, that the media violated their own fair reporting and impartial ethics by favouring one candidate.
Candidates from all other political parties were given equal treatment although judging from the campaign trends; it was evident from the beginning that JK, as the same media fraternity referred to him, would win the presidential poll. He did.JK made good use of the media in his entire election campaign and ensured that the accompanying journalists were given first class treatment.
He even found time in between his busy itinerary to meet them over a cup of coffee to share views. One could safely sum it all up by saying that use of the media was one of the factors that helped JK win the presidency.
It was no wonder then that after JK was sworn in as president, he invited all the journalists who covered his election trail to the State House for a drink, snacks and person to person talks.
And that was not all. The president has made it a point by including the media in his delegations whenever he travels outside the country, who have helped by informing Tanzanians on the presidents programme and activities abroad.
The media has a very important role to play in the affairs of the nation, including coverage of the president. JK has set a good precedence for more media involvement in the nations governance. Thats what is known as transparency.
gabbymgaya@yahoo.com
tehe tehe GT ukiigusa familia ya makamba anawaka....yeye anasema january hahusiki....namuuliza kaz za JM ni zipi ikulu....hasemi....Duh! sina Comment!