Nimejaribu kufungua website ya CHADEMA ili niangalie mambo fulani lakini nikatakiwa niingize password na imeandikwa "Protected Site", na hakuna sehemu ya yoyote inayoruhusu kuji-register. Wadau naomba msaada wenu. Kitu nilichokiona kiko katika picha hapa chini.
View attachment 121950
Mkuu ZeMarcopolo mbona ikulu yenu tukufu na kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu yenu inatumia yahoo email ina maana na wao wameshindwa kuwa na ya kwao mpaka watumie email ya yakoo
Ikulu ni yetu wote. Tumuulize Salva...
Kwa hiyo Chadema kama chama hawana website?
Kwa hiyo Chadema kama chama hawana website?
Kamanda mie nimeuliza tu kwa ni njema, nashukuru kwa majibu yako.Lakini kama CHAMA kinapata wananchi wengi kwenye mikutano yake na habari husambazwa haraka na kwa ukweli na kiusalama Tanzania kuwa na Computer ni anasa ni wachache walizonazo na wengi wao ni mpaka waende ofisini Umeme wetu ni goigoi kwahiyo mikutano ya hadhara ndiyo inayotuma ujumbe kiurahisi kwa wananchama wake sababu Mikutano yake huwa inahudhuriwa na idadi kubwa ya wananchi.
Ukilinganisha na Mikutano ya CCM in Gharama lazima wapike WALI, MAHARAGE na NYAMA; Wapatiwe T-Shirt CCM; Scarf-CCM; Khanga´CCM; Usafiri sababu wengi hawapendi kutembea kwenda kula...
Wakifika Mkutanoni waongeaji ni Wasinziaji no points hawajui kuhamasisha Inabidi wamlete Mwanamuziki wa Madoido
Sasa hapo ukiweka sera zenu muongeaji ni mzito na mwingine ni kufoka; unawashindilia maharagwe; mchana wa jua; halafu kuna mwana muziki anacheza hapo''
KILA KITU walichokihutubia hakuna atakayekikumbuka sababu tumbo litakuwa linatoa mayowe yake. Midomo inacheza yenyewe wa mdundo CAMPAIGN sio starehe!!!
CCM imekodisha ma HACKER toka China kwa lengo la kuihujumu website ya Chadema, ila Chdema ni makini imeugundua mchezo huo na kuamua kuiprotect from Hackers, hivi sasa ipo ktk matengenezo kuhakikisha hackers hawawezi kuihack. Hacker wa CCM walichofanikiwa ni kuhack email account ya Dr Slaa na kuiba baadhi ya nyaraka.
Chadema wasanii tu. Website yao tu wanshindwa kuisimamia halafu wantaka wapewe serikali!!!
site uliotoa inasema iko protected
sioni kitu
Ni aibu na uzembe wa kiwango cha juu kwa chama hasa Kurugenzi ya Mawasiliano CHADEMA inayojinasibu kama mambo yake yanaenda kidigitali wakati hata official website kimeshindwa kuendesha kidigitali.
Ni kweli kuna Watanzania wachache wanaokuwa na mawasiliano mara nyingi ya kidigitali lakini hili haliondowi ukweli kuwa CHADEMA kikiwa kwenye mpito wa ukuaji ndani na nje ya Tanzania, lazima nyaraka zake zipatikane kifigitali.
Nyaraka kama Katiba, Kanuni, matangazo na habari mbali mbali za CHADEMA katika dunia ya sasa lazima zipatikane kwa haraka na urahisi. Website ni njia mojawapo ambayo ni muhimu sana katika mawasiliano na chama. Website ya CHADEMA iko kwenye matengenezo yasiyokuwa na mwisho!.
Kiasi gani kinagharimu kuweka website active wakati chama kinapokea kila mwezi karibia Milioni 200.
Kulikoni kwenye kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA.
Lakini kama CHAMA kinapata wananchi wengi kwenye mikutano yake na habari husambazwa haraka na kwa ukweli na kiusalama Tanzania kuwa na Computer ni anasa ni wachache walizonazo na wengi wao ni mpaka waende ofisini Umeme wetu ni goigoi kwahiyo mikutano ya hadhara ndiyo inayotuma ujumbe kiurahisi kwa wananchama wake sababu Mikutano yake huwa inahudhuriwa na idadi kubwa ya wananchi.
Ukilinganisha na Mikutano ya CCM in Gharama lazima wapike WALI, MAHARAGE na NYAMA; Wapatiwe T-Shirt CCM; Scarf-CCM; Khanga´CCM; Usafiri sababu wengi hawapendi kutembea kwenda kula...
Wakifika Mkutanoni waongeaji ni Wasinziaji no points hawajui kuhamasisha Inabidi wamlete Mwanamuziki wa Madoido
Sasa hapo ukiweka sera zenu muongeaji ni mzito na mwingine ni kufoka; unawashindilia maharagwe; mchana wa jua; halafu kuna mwana muziki anacheza hapo ''
KILA KITU walichokihutubia hakuna atakayekikumbuka sababu tumbo litakuwa linatoa mayowe yake. Midomo inacheza yenyewe wa mdundo CAMPAIGN sio starehe!!!
Chadema wasanii tu. Website yao tu wanshindwa kuisimamia halafu wantaka wapewe serikali!!!