Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Wana JF!

Kwa nini ukitaka kuingia katika website ya CDM inakwambia "The site Protected"? Je, nikitaka kuingia nitumie password gani? Ningependa kusoma mambo mbalimbali katika website kwaajili ya kukijua Chama zaidi kabla ya 2014 na 2015. Nitafurahi kusaidiwa katika hili
 
Kakojoe ukalale, simple imwagie maji pc yako. Na mwambie MM hatumtaki.
 
Pompo,

Kuuliza siyo ujinga. Kama wewe unajua jinsi ya kuingia web ya chama basi si kila mtu anaweza. Kama unajua ni bora kunielekeza badala ya matusi kama haya. Nafikiri utakuwa umenielewa
 
Back
Top Bottom