- Thread starter
- #61
Nimefurahi leo kukutana na hii blog ya chama (CHADEMA) fuata link Chadema Blog lakini zaidi naulizia majibu kuhusu swali langu la msingi wakati nauliza hli swali website ilikuwa inaonekana but haikuwa ikifanya kazi vizuri, sasa nw ni muda toka imestopishwa kabisa na kuwekewa a label kuwa it is under construction, pls sisi wadau tunaiihitaji iwepo hewani tena ikiwa very resourcefull. namaanisha link hii "http://chademablog.or.tz" na pia napenda kudeclare interest kuwa I'm a web developer kama kunatatizo mahali nipo tayari kufanya kazi free na timu ya IT ya chama kuhakikisha kuwa inafanya kazi na zaidi inafikia viwango vinavyopaswa kwa chama hiki chetu kikubwa.