Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Hii site ipo kwenye construction kama majengo yanavyozungushiwa uzio wakati wa ujenz, hata website zinaweza kufanyiwa hivyo.
 
Na wewe kama ni mkereketwa wa CCM unatafuta nini kwenye tovuti ya CHADEMA,kama sio umbea...
 
Naanza kupata wasiwasi hiki chama hakiko safi mbona wanaficha? Na log off niisome. Vizuri card yangu.

Body without head
 
mbona baadhi ya tovuti za wizara na taasisi za serikali ni kinyaa? zingine hazipaliliwi hadi bajeti mpya! kweli chadema inawakosesha usingizi hadi nguo hazitulii mwilini,
 
website inasema ili ujue misimamo,sera na KATIBA zao lazima uwe na password ndio utapata kuingia kuisoma. iN SHORT chadema wameamua kuifunga website yao kwa wananchi

Hiki ndicho chama mbadala ambacho kinategemewa kuchukua nchi in 2 years time

soma hapa:

http://www.chadema.or.tz/

attachment.php

kazi tunayo maana kila nikijaribu kujua tofauti kazi ya CHADEMA na CCM nashindwa kupata tofauti.

ulivyo mpuuzi unakuja kulalamika Jf!
Jf siyo ofisi ya chadema nenda ofisini kwao
 
Mtalia sana...!!
Kila mlango mliotaka kuutumia 'kuchakachua' umefungwa.

Big up Chadema, maana jamaa wa CCM walitaka kupandikiza documents kwenye web-site yenu, wamekuta 'hola' sasa wamekasirika sana.
Pole sana Ritz na wengineo, maana siku zote hamkuwa mnatembelea web-site ya Chadema, vipi leo mnataka sana kutembelea huku...??
Alternatively, tembeleeni web-site hii hapa chini...kuna kila mnachokihitaji......
Welcome to the Frontpage!

Mbona hii website ya ccm.or.tz links zake hazifunguki??? Mnaficha nini?
 
Last edited by a moderator:
website inasema ili ujue misimamo,sera na KATIBA zao lazima uwe na password ndio utapata kuingia kuisoma. iN SHORT chadema wameamua kuifunga website yao kwa wananchi

Hiki ndicho chama mbadala ambacho kinategemewa kuchukua nchi in 2 years time

soma hapa:

http://www.chadema.or.tz/

attachment.php

kazi tunayo maana kila nikijaribu kujua tofauti kazi ya CHADEMA na CCM nashindwa kupata tofauti.

Unasemaje vile?
 
Poleni sana Ndugu, Wanachama, Wapenzi na Marafiki zetu na Watanzania wote kwa ujumla kwa usumbufu mlioupata na mnaoupata kwa tovuti yetu kukosekana hewani. Tovuti yetu imekuwa kwenye matengenezo ili iweze kuendana na teknolojia ya kisasa. Tunawaahidi mwanzoni mwa mwezi November mwaka huu wa 2013 tutaiachia rasmi hewani.Kwa sasa tunaendelea na zoezi la kuingiza taarifa muhimu kwenye tovuti pamoja na kukusanya maoni ya wadau mbalimbali kuhusu muonekano na mambo muhimu ya kuweka ili tuweze kukidhi haja na matamanio ya watu wengi zaidi katika upatikanaji wa taarifa zetu muhimu za Chama.Kwasasa unaweza kuendelea kutufuatilia katika ukurasa wetu wa facebook wa www.facebook.com/chademahabari (Kurugenzi Ya Habari Chadema) na www.twitter.com KHU Chadema na hapa JF kupitia ID yetu ya Kurugenzi ya Habari. Asanthe kwa kufuatilia taarifa rasmi kutoka kwetu wewe ni mtu wa muhimu sana kwetu. CHADEMA MABADILIKO YA KWELI UHURU WA KWELI
website inasema ili ujue misimamo,sera na KATIBA zao lazima uwe na password ndio utapata kuingia kuisoma. iN SHORT chadema wameamua kuifunga website yao kwa wananchiHiki ndicho chama mbadala ambacho kinategemewa kuchukua nchi in 2 years timesoma hapa:http://www.chadema.or.tz/
attachment.php
kazi tunayo maana kila nikijaribu kujua tofauti kazi ya CHADEMA na CCM nashindwa kupata tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana Ndugu, Wanachama, Wapenzi na Marafiki zetu na Watanzania wote kwa ujumla kwa usumbufu mlioupata na mnaoupata kwa tovuti yetu kukosekana hewani. Tovuti yetu imekuwa kwenye matengenezo ili iweze kuendana na teknolojia ya kisasa. Tunawaahidi mwanzoni mwa mwezi November mwaka huu wa 2013 tutaiachia rasmi hewani.Kwa sasa tunaendelea na zoezi la kuingiza taarifa muhimu kwenye tovuti pamoja na kukusanya maoni ya wadau mbalimbali kuhusu muonekano na mambo muhimu ya kuweka ili tuweze kukidhi haja na matamanio ya watu wengi zaidi katika upatikanaji wa taarifa zetu muhimu za Chama.Kwasasa unaweza kuendelea kutufuatilia katika ukurasa wetu wa facebook wa www.facebook.com/chademahabari (Kurugenzi Ya Habari Chadema) na www.twitter.com KHU Chadema na hapa JF kupitia ID yetu ya Kurugenzi ya Habari. Asanthe kwa kufuatilia taarifa rasmi kutoka kwetu wewe ni mtu wa muhimu sana kwetu. CHADEMA MABADILIKO YA KWELI UHURU WA KWELI
Hivi chadema mbona mnapoteza network kirahisi hivi? Sasa hivi ndio tunaumaliza mwezi November nyinyi mnatuahidi kuiachia website yenu mwanzoni mwa november 2013 mbona hatuelewi au ndio Zitto kawavuruga mpaka memory inapoteza mwelekeo????
 
CCM imekodisha ma HACKER toka China kwa lengo la kuihujumu website ya Chadema, ila Chdema ni makini imeugundua mchezo huo na kuamua kuiprotect from Hackers, hivi sasa ipo ktk matengenezo kuhakikisha hackers hawawezi kuihack. Hacker wa CCM walichofanikiwa ni kuhack email account ya Dr Slaa na kuiba baadhi ya nyaraka.

Huwezi ku protect site from hackers kwa kutaka wanaoitembelea waingie kwa password.

Unaweza ku protect site from hackers kwa kuimarisha backend web server, firewalls, spam filters etc.

Usipotoshe.

Kama hii ndiyo public website ya CHADEMA, restricting access by password not only defeats the purpose of being "public", it shows thatCHADEMA lacks transparency.
 
Hivi chadema mbona mnapoteza network kirahisi hivi? Sasa hivi ndio tunaumaliza mwezi November nyinyi mnatuahidi kuiachia website yenu mwanzoni mwa november 2013 mbona hatuelewi au ndio Zitto kawavuruga mpaka memory inapoteza mwelekeo????

Unajidharilisha kwa kukubali kutumika kwa buk7
 
Hivi chadema mbona mnapoteza network kirahisi hivi? Sasa hivi ndio tunaumaliza mwezi November nyinyi mnatuahidi kuiachia website yenu mwanzoni mwa november 2013 mbona hatuelewi au ndio Zitto kawavuruga mpaka memory inapoteza mwelekeo????

Mbona sijawahi kukusikia unaulizia kikomo cha zile siku 90 za kuvuana magamba au ile miezi 6 aliyoomba mangula ya kuwafukuza walochaguliwa kwa rushwa huko magambani? Unafiki utakuua ndg yangu msisiem
 
Naomba nirekebishwe ila hawa jamaa inawezekana hawako makini kama inavyodhaniwa!!!!!!!!

A figure well curved and painted; i wish to know about its measurements!!!
 
Back
Top Bottom