Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Kwa msaada wenu wana Jf, Ni kwa muda mrefu sasa website ya chama chetu pendwa kiko under contruction na kama kauli mbiu ya chama kuwa ni chama makini, na kwa kuwa tumevumilia vya kutosha sasa tunaomba mh Mnyika aje hapa na majibu ya uhakika kwamba site hiyo itakuwa tayari lini tuache kuifungua kila siku mpaka hapo itakapokuwa tayari, naomba wadau wote na wapenzi wa CHADEMA tupige kelele kwapamoja, ahsante
 
Wana jf kama tu ilivyo kauli ya Chadema kuwa sauti ya wengi ni sauti ya mungu, ebu na sisi sasa tupaze sauti ya pamoja jamaa wafungue hii site muhimu kwa chama, na iwe na watu wa ku updates kila siku sio unasoma site mwezi mzima mambo ni yale yale, nawasilisha
 
Kama sikosei hii ni zaidi ya mara ya pili hili suala linaongelewa hapa bila hata kupatiwa majibu......ptuuuuuuuuuuu

Acha u.j.i.n.g.a kijana,WEBSITE YA CDM SI HII?We unataka tuwe na Website ngapi?TV tunayo inaitwa EATiVi we unaishi wapi?Waulize M.n.ny.i...........ka na H.e.c.h.e!Na mtangazaji wake ni member humu
 
Hivi website ya CHADEMA ya www.chadema.net ina matatizo gani?

Kuna info nilikuwa natafuta kutoka kwenye website yao na nimeshindwa kupata official website ya CHADEMA.

Wahusika tafadhali rekebisheni hilo tatizo.
 
Nilisha uliza swali kama hili mara kadhaa bila majibu na nikaomba hata mh Mnyika atusaidie lakini wapi, mwanzo ilikuwa ina mambo yale yale yaliopitwa na wakati, siku hizi ndio kabisa undercontruction
 
Ukifungua tu ina majibu safi kabisa.. sasa unauliza nini hapa?

Haya ndio majibu. funga thread yako

Webiste under Construction...
Contact us:
Email: info@chadema.or.tz
 
Nenda kwa ofisi moja kwa moja.Chama usikute hakina wataalamu wa IT.Chezea siasa wewe
 
Watu wa kukurupuka, rudi tena na soma vizuri swali langu neno baada ya neno na kisha niambie kama jibu lako ni sahihi.

Ukifungua tu ina majibu safi kabisa.. sasa unauliza nini hapa?

Haya ndio majibu. funga thread yako

Webiste under Construction...
Contact us:
Email: info@chadema.or.tz
 
Josephine si alikuwa mtaalamu wa IT wa kanda nzima ya Afrika?

Au watu mmezidi kumlalamikia sasa hata kazi ndogo anashindwa kukisaidia chama?

Nenda kwa ofisi moja kwa moja.Chama usikute hakina wataalamu wa IT.Chezea siasa wewe
 
Josephine si alikuwa mtaalamu wa IT wa kanda nzima ya Afrika?

Au watu mmezidi kumlalamikia sasa hata kazi ndogo anashindwa kukisaidia chama?

Kilaza at work nimeipata kutumia thread yako; kajipange upya
 
Website uliyotumia kupata info za chadema ni ipi? Weka link hapa tuione.

Kwa taarifa website ya siku nyingi ya chadema na ambayo ndio iko kwenye vipeperushi vyao vingi ni:
www.chadema.net

Lakini hata kama wamebadilisha basi inabidi hiyo Chadema.net waifute.

Ukija hii ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA inaonyesha iko under construction. Hii ni mpya na huko nyuma haijawahi kuwa na habari zozote za chadema.

Kama kuna mabadiliko inabidi waandike wazi. Lakini kama mlivyo wapuzi baadhi ya wanachama wa chadema, mtu akiandika chochote kuhusu chadema, mnachachamaa hata bila kuelewa lengo la mwandishi ni nini.

Tengenezeni hizo websites zenu maana chadema ni chama kikubwa haiwezekani una search website yake unaingizwa kwenye webpages zenye mambo ya ajabu ajabu.

Upuzi huu huu wa kudharau website ndio walikuwa nao hata bunge huko nyuma ila sasa wamejirekebisha.
Mpuuzi mwingine website inawajua sana wapuuzi mimi nimepata all infomation. Rudi Lumumba ukachukue posho halafu anzisha thread nyingine hapa umebugi kwa shule inayoishia Lumumba
 
Website uliyotumia kupata info za chadema ni ipi? Weka link hapa tuione.

Kwa taarifa website ya siku nyingi ya chadema na ambayo ndio iko kwenye vipeperushi vyao vingi ni:
www.chadema.net

Lakini hata kama wamebadilisha basi inabidi hiyo Chadema.net waifute.

Ukija hii ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA inaonyesha iko under construction. Hii ni mpya na huko nyuma haijawahi kuwa na habari zozote za chadema.

Kama kuna mabadiliko inabidi waandike wazi. Lakini kama mlivyo wapuzi baadhi ya wanachama wa chadema, mtu akiandika chochote kuhusu chadema, mnachachamaa hata bila kuelewa lengo la mwandishi ni nini.

Tengenezeni hizo websites zenu maana chadema ni chama kikubwa haiwezekani una search website yake unaingizwa kwenye webpages zenye mambo ya ajabu ajabu.

Upuzi huu huu wa kudharau website ndio walikuwa nao hata bunge huko nyuma ila sasa wamejirekebisha.

Ahsante mkuu hutaipata na mimi nafurahi huipati mimi naipata nenda Lumumba kachuke posho.

Nilisahau kumbe wewe ni wa azimio la Nape? Umeharibu siku yangu

Join Date : 4th February 2007
Posts : 522
Rep Power : 720
Likes Received52
Likes Given4
 
Hivi website ya chadema ya www.chadema.net ina matatizo gani?

Kuna info nilikuwa natafuta kutoka kwenye website yao na nimeshindwa kupata official website ya chadema.

Wahusika tafadhali rekebisheni hilo tatizo.

Aaah kwani we hujui JAMMIIFORUMS NDIO OFFICIAL PAGE YA CHADEMA? pole sana kama hujui..CHADEMA YOTE IKO HUMU,SASA WEWE WEBSITE YA CHADEMA YA NINI? HII UNAYOPOST NDIO YENYEWE..AU MPAKA ITAKAPOITWA DR SLAAH NDIO UTAAMINI YA CHADEMA? WW ULIZA HAPA JF ABOUT CHADEMA UTAPATA CHOCHOTE AMBACHO HUWEZI KUKIPATA HATA PALE UFIPA
 
Bora umegeuka mganga wa miti shamba. Wanaipata wale waumini tu wa chadema? Unanikumbusha story ya "The Emporer's New Clothes". Angalia usije ukaambuliwa na mtoto kwa kukuambia the King is naked.
Ahsante mkuu hutaipata na mimi nafurahi huipati mimi naipata nenda Lumumba kachuke posho.

Nilisahau kumbe wewe ni wa azimio la Nape? Umeharibu siku yangu

Join Date : 4th February 2007
Posts : 522
Rep Power : 720
Likes Received52
Likes Given4
 
CHADEMA ndicho chama cha upinzani kilicho leta chachu kubwa zaidi ya mabadiliko katika historia ya taifa letu na hasa ukizungumzia mabadiliko ya KWELI yaani yalio tokana na jitihada za makusudi za kuzalisha jamii yenye uelewa mkubwa zaidi wa haki na wajibu wao nakuleta UWAZI NA UKWELI katika ngazi mbalimbali za uongozi katika jamii yetu, lakini pia ni mabadiliko ENDELEVU (si tu ya watu kufwata upepo).

Angalau baada ya kitambo fulani sasa mwananchi wa kawaida kabisa anaweza kuwa na ujasiri kabisa wakusimama na ku question mambo na maamuzi kadhaa yanayo chukuliwa na viongozi wetu wa kisiasa/kijamii na katika taasisi zetu mbalimbali.

Uelewa wa watanzania ume ongezeka sana katika kipindi hiki kifupi thanks to CHADEMA na kambi yote ya UPINZANI

CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani BUNGENI, na ndicho chama chenye kuonyesha angalau mwanga kwa tumaini la watanzania kwamba Yes! ipo siku mabadiliko yatakuja.
nasisi watoto wa mama Tanzania tumejitoa kufanikisha hili sambamba na ndugu zetu wa uongozi wa juu wa CHADEMA.

LAKINI? JE BADO UPO UMAKINI TULIO ANZANAO KATIKA KUFIKIA SHABAHA YETU???

JE IPO MIKAKATI ILIYO WEKWA KUELEKEA KUFIKIA SHABAHA ZETU?? JE MIKAKATI HIYO IMEUZWA VYAKUTOSHA KWA WANACHAMA NA UMMA WA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KIASI CHA KUA owned NA UMMA huo wa wapenda mabadiliko??

JE KAMA KUFIKIA LEO HII CHADEMA BADO HAINA TOVUTI (website) KATIKA ULIMWENGU HUU WA UTANDAWAZI, ARE WE SERIOUS??
ninaomba kuwasilisha hili, kama inawezekana lifanyiwe kazi.

Maendeleo ya kiuchumi, Amani na ummoja - Tanzania!

Asanteni
 
Back
Top Bottom