Charles kiwesi
Member
- Jan 17, 2013
- 37
- 4
democrasia ya kweli ndio hiyo na 2pambania tanzania mpya
Habari za siku nyingi kidogo wana JF! habari za mapambano ya mabadiliko wana CHADEMA wenzangu, nina swali kidogo kuhusu website ya chama chetu, Jamani nani muhusika mkuu wa hii web? mbona inatumia technolojia ya zamani hivyo? na mbona links nyingi hazifanyi kazi? this is not fair kwakweli viongozi wa juu angalieni hili ni source kubwa sana ya habari rasmi za chama na taifa pale ambapo serikali inapindisha baadhi ya habari, hii website inatakiwa iwe source ya taarifa muhimu za chama na watu tunapozihitaji tuzikute huko, tukikutana na habari za juu juu kwenye vyombo vingine kwenye web tukute kwa undani! pls naomba majibu kutoka kwa wahusika!

nimekusoma, wapi walipojenga hayo makao makuu? Utasikia cdm wanapinga ufisadi, mamilioni mengi yanalipiwa pango! Huo ndo ukweli.
CHADEMA ndicho chama cha upinzani kilicho leta chachu kubwa zaidi ya mabadiliko katika historia ya taifa letu na hasa ukizungumzia mabadiliko ya KWELI yaani yalio tokana na jitihada za makusudi za kuzalisha jamii yenye uelewa mkubwa zaidi wa haki na wajibu wao nakuleta UWAZI NA UKWELI katika ngazi mbalimbali za uongozi katika jamii yetu, lakini pia ni mabadiliko ENDELEVU (si tu ya watu kufwata upepo).
Angalau baada ya kitambo fulani sasa mwananchi wa kawaida kabisa anaweza kuwa na ujasiri kabisa wakusimama na ku question mambo na maamuzi kadhaa yanayo chukuliwa na viongozi wetu wa kisiasa/kijamii na katika taasisi zetu mbalimbali.
Uelewa wa watanzania ume ongezeka sana katika kipindi hiki kifupi thanks to CHADEMA na kambi yote ya UPINZANI
CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani BUNGENI, na ndicho chama chenye kuonyesha angalau mwanga kwa tumaini la watanzania kwamba Yes! ipo siku mabadiliko yatakuja.
nasisi watoto wa mama Tanzania tumejitoa kufanikisha hili sambamba na ndugu zetu wa uongozi wa juu wa CHADEMA.
LAKINI? JE BADO UPO UMAKINI TULIO ANZANAO KATIKA KUFIKIA SHABAHA YETU???
JE IPO MIKAKATI ILIYO WEKWA KUELEKEA KUFIKIA SHABAHA ZETU?? JE MIKAKATI HIYO IMEUZWA VYAKUTOSHA KWA WANACHAMA NA UMMA WA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KIASI CHA KUA owned NA UMMA huo wa wapenda mabadiliko??
JE KAMA KUFIKIA LEO HII CHADEMA BADO HAINA TOVUTI (website) KATIKA ULIMWENGU HUU WA UTANDAWAZI, ARE WE SERIOUS??
ninaomba kuwasilisha hili, kama inawezekana lifanyiwe kazi.
Maendeleo ya kiuchumi, Amani na ummoja - Tanzania!
Asanteni