nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Nimejaribu kufungua website ya CHADEMA ili niangalie mambo fulani lakini nikatakiwa niingize password na imeandikwa "Protected Site", na hakuna sehemu ya yoyote inayoruhusu kuji-register. Wadau naomba msaada wenu. Kitu nilichokiona kiko katika picha hapa chini.
View attachment 121950
Haina wakina NKORONGO wanaomaintain CCM BLOG na Tivoli ya Chama cha Mapinduzi…
Na wao wanapewa TRIPs za UCHINA kama waandishi wa habari; sahihi bias kwa chama
Sasa kweli hiyo trip huyo blogger alilipiwa toka kwenye RUZUKU ya CCM au FEDH ZA SERIKALI?
Hii inatisha kweli, ni ma-blogger wangapi wanapokea some money from CCM kuandika na kutoa picha za ziara za viongozi wa CCM? wewe angalia hizo blog zinavyofanana...
Na kweli wanalia na RUZUKU ya CHADEMA nakweli logically unaona ni kweli nani anachota hizo pesa...
Inasikitisha kweli; na hakuna wa kuuliza swali la ukweli chama tawala… waandishi wote wa habari ni pro-ruling party