Kwa hiyo Chadema kama chama hawana website?Nenda Chadema blog ina info nyingi tu
Nimejaribu kufungua website ya CHADEMA ili niangalie mambo fulani lakini nikatakiwa niingize password na imeandikwa "Protected Site", na hakuna sehemu ya yoyote inayoruhusu kuji-register. Wadau naomba msaada wenu. Kitu nilichokiona kiko katika picha hapa chini.
View attachment 121950
Chadema wasanii tu. Website yao tu wanshindwa kuisimamia halafu wantaka wapewe serikali!!!