Web browser ipi bora kuliko zote?

Web browser ipi bora kuliko zote?

Mozzila ndhani sasa hivi developer wake wengine ni mamluki wa chrome. Wanatoa update kila siku, na smetime crash sana.

Kama wewe unahitaji apps nyingi na addons basi mozilla bado inafaa . lakini kama shida yako ni kutumia mtandao tu bila mahitji mengine basi chagua kati ya chrome na IE

Nimetumia Mozzila,Google Chrome as well as IE. Kwakweli Google chrome iko fresh. Mozzila siku hizi kimeo, wana-update software yao every day and then na Several times ina-crash. Wingi wa applications na add-ons katika Mozzila hauna tija,mara nyingi husababisha slowness. Tulio wengi tunahitaji speed and less complications. I strongly recommend GOOGLE CHROME.
 
ngoja nojaribu google chrome-maana natumia IE na Mozilla-ila mozila inanipa crash somtyms-
 
comparison-of-web-browsers.jpg


Browser ambayo mpaka sasa ndio inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watumiaji ni IE ambayo inachukuwa takribani kati ya asilimia 35% mpaka 70% ya browser zote.

IE ni maarufu kwa sababu inapatika kwenye PC zote unazo nunua by default, na ndio official browser... Maofisi karibia mengi huwa hawaruhusu kuweka browser nyingine zaidi ya IE.


Kwa mujibu wa wikipedia, browser ambayo inaongoza mpaka mwezi wa September 2011 ni IE

IE 35.5%
Firefox 23.8%
Chrome 19.3%
Safari 11.0%
Opera 4.8%
Android 1.8%
Other 3.8%

Angalia viungo hapa chini:
 
Mozzila ndhani sasa hivi developer wake wengine ni mamluki wa chrome. Wanatoa update kila siku, na smetime crash sana.

Kama wewe unahitaji apps nyingi na addons basi mozilla bado inafaa . lakini kama shida yako ni kutumia mtandao tu bila mahitji mengine basi chagua kati ya chrome na IE

Mkuu unacho sema ni kweli, tatizo la wengi wetu hatuangali utilities ambazo ziko-inbuilt kwenye Browser husika, kinacho hitajika ni ku-activate kitu unachotaka browser yako ifanye basi, tusianze kulahumu bila kufanya utafiti kwanza.
 
IE ni maarufu kwa sababu inapatika kwenye PC zote unazo nunua by default, na ndio officialbrowser...Maofisikaribiamengihuwa hawaruhusu kuweka browser nyingine zaidi ya IE.

Kampuni ya kwanza kutengeneza browser mahili ilikuwa inajulikana kama NETSCAPE, browser hii hilikuwa nzuri sana wakati huo Bill Gates hakuwa na Browser application yoyote, alipo ona NETSCAPE inakuwa popular Bill alichofanya ni ku-reverse engineer codes za NETSCAPE in otherwords kuwahibia NETSCAPE program zao, jeuri ya pesa ya Bill Gates ilikuwa inamfanya Bill kunyayasa makampuni madogo yenye watu wabunifu sana kuwanyanganya ubunifu wao na baadae kuwalipa pesa mambo yahishe wanapo fikishana mahakamani. Sasa alichokuja kufanya baadae ni nini? Katumia monopoly yake ya operating system za windows kuwa kwenye Computer karibu zote duniani akaweka Browser yake ya IE.x kama default browser ya windows na hakutaka browser nyingine ziwekwe kwenye OS yake mpaka alifikishwa mahakamani kwa hilo ndiyo baadae akasalimu amri, ni mtu talented lakini huwa hataki ushindani hata kidogo.

Ninacho taka kuzungumzia humu ni kwamba IE inaonekana kutumika sana katika PC na laptops/tablets kufuatia historia ya niliyo eleza hapo na ni watu wachache nanao juwa kuwa kuna browser nyingine nzuri tu mbadala - nafikili ignorance ime-contribute sana katika hilo lakini naona gap kati ya IE.x na browser nyingine inakuwa narrowed at a lightening speed.
 
goooooooooooooooogle chrome, try it u will apreciate
 
Ninacho taka kuzungumzia humu ni kwamba IE inaonekana kutumika sana katika PC na laptops/tablets kufuatia historia ya niliyo eleza hapo na ni watu wachache nanao juwa kuwa kuna browser nyingine nzuri tu mbadala - nafikili ignorance ime-contribute sana katika hilo lakini naona gap kati ya IE.x na browser nyingine inakuwa narrowed at a lightening speed.
Ni kweli maana kuna programme nyingi ambazo microsoft wanazo na wanaziuza bei ghali, lakini hapo hapo kuna za bure (freeware) ambazo watu wengi hawana taarifa nazo kama vile open office, mbadala wa microsoft office, vlc kwa ajili ya video & audio player mbadala wa window media player na nyingine nyingi sana. Lakini yote haya ni katika biashara hakuna anyetaka ushindani katika dunia hii ya kibepari.
 
mimi ni mfanyakazi wa kwenye intanetcafe, wateja wanapenda kuja kwenye cafe yetu maana tumeinstall GOOGLE CHROME kwenye pc zetu na tunawashauri watumie browser hiyo na kwa wanaoijua wanaipenda sanaaa maana haibagui webpages.
 
For personal use chrome is the best baby!!...for enterprises and developers IE is still the mother of Internet!!!..All in all it depends on application!
 
google chrome ni nzuri lakini binafsi inaniwia ngumu ku download flash video kutoka kwenye page ya google chrome,inabidi nitumie mozilla, je wajuzi nyinyi mnafanyaje???
 
Browser bora kwa Windows PC ni Chrome
Browser nzuri kwa Mac ni Safari
Browser nzuri kwa Simu za Android ni Opera Mobile 11.5
Browser nzuri kwa simu za Windows mobile na Simu zingine zenye Java ni Opera Mini 6.5.
Kwa watumiaji wa Internet Explorer ni vizuri mu-upgrade kwenye IE-9 maana IE-8 ni slow, IE-7 ina crash sana na IE-6 imekwisha pitwa na wakati hata microsoft hawaitambui tena
 
Been using safari for a while now, think it is the best..
 
Back
Top Bottom