Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,358
- 2,780
Browser ya Google chrome ni apps maarufu ulimwenguni karibu watu wengi tunatumia hii apps kwenye vifaa Mbalimbali kwani ni nyepesi, ufanisi Bora, muonekano wake wa kuvutia nk.
Lakini Kuna apps zingine za Browser ni nzuri balaa ambazo ukijaribu kutumia basi utaweza ku enjoy sana na kuifanya simu yako kuwa ya kipekee. Leo nakupa browser ambazo ni nzuri kuanzia upande wa,
⚡ Security
⚡ Performance
⚡ Customermize
⚡ Ku - Download kitu
🚀 Samsung internet , hii sio kwa watumiaji wa Samsung pekee hata wewe unaweza tumia haijalishi unatumia simu gani 👋.
🚀 Firefox
🚀 Vivaldi
🚀 Opera AI integration
🚀 Brave 💪
🚀 DuckDuckGo na
🚀 Microsoft Edge
Ukitumia hizi apps uta enjoy sana 👋 umeshawahi kutumia apps gani tuac
hie maoni yako?