We namba ngapi hapo?

We namba ngapi hapo?

kwani kinachoangaliwa ni kidole kipi?kama ni gumba mbona namba 2 & 3 wana gumba fupi
 
sasa mkuu kwani vyako vikoje
 
lol tuko pamoja hapo 1
 
Mi namba 1
281805_492626130755440_1553833906_n.jpg
Mi namba 2,inamaana yoyote hii?
 
:A S-heart-2::violin::A S-rose::lock1::flypig::hippie:
 
Haya unatuuliza namba unataka kutununulia viatu au? lol

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Angekuwepo marehemu Sheikh Yahya angekupa sifa na tabia za watu wenye aina hizo za miguu.
 
Mkuu hizo nyayo na namba ungefafanua ili tuelewe unamaanisha nini....!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom