We namba ngapi hapo?

We namba ngapi hapo?

Mkuu hizo nyayo na namba ungefafanua ili tuelewe unamaanisha nini....!!!

mkuu ukiangalia vidole lazima utagundua kuwa mguu wako upo kwenye category ipi ingawa kuna wachache wana vidole tofauti
 
Ok am waiting for that...

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mi namba 1
281805_492626130755440_1553833906_n.jpg
Mkuu hivi ni kweli hao wenye namba 1 wengi huvaa viatu vya saizi namba 10 na kuendelea?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom