Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,362
- 26,943
Dar es salaam, Arusha na Moshi, wahalifu wanaopora Simu, mikoba na hata wizi ni wale wanaokuwa na pikipiki zisizo na Namba.
Jeshi la Polii litangaze kabisa, wakikuta pikipiki isiyo na namba, na ni ya zamani , namba zimekunjwa ama hazisomeki iwe halali yao, kwa mujibu wa sheria.