We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

Babu bwana na wewe haujui mfano, agghhh! Umeamua kutubishia tu, but still i will hold onto it. Sikatai kutandikiwa kwa sababu ya mjukuu wako asijiibe, najitandikia kwa sababu nataka. Na in a very selfish mode nafanya kwa ajili yangu mwenyewe, husband or no husband!
No please King'asti,

Hivi kitanda chako huwa unakiacha kichafu kama choo??

Nadhani umekosea katika kutafuta kitu cha kutolea mfano...

Kama hotelini unakubali kutandikiwa, why not home??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Aaaah babu unakua kama hujaota ndevu za ulimi bwana!!!!!!! Wewe na bibi mnamwagiana hayo makitu wapi zain vodacom zantel au 0713 au unakinga kwenye glass for juice eee!!!!???? alafu babu maumbile utofautiana kwani ya bibi inakifuniko nn ukicheua tu kina funga mbaaaa!!!!!???? Aaaaah baaabu au umezeeka mpaka ikulu that's why mambo ya kuogeshana yale makitu na bibi umesahau????? Babu ww pia tukwambie why chumbani ni private place jamani babu kule jandoni hamkufundishwa nini???? Baaabu dc pokea hiyo babu najua wajua ila wataka kujua zaidi nitakujuza ila usimwambie bibi atasema nakuzeesha haraka njoo pm chumba kidogo cha siri nikujuze giza hili babu mjukuu amening'ang'ania subiri nizioge kidogo

Mbona sasa hujanitumia PM ya kunipitisha jandoni?

I am really curious!
 
Babu bwana na wewe haujui mfano, agghhh! Umeamua kutubishia tu, but still i will hold onto it. Sikatai kutandikiwa kwa sababu ya mjukuu wako asijiibe, najitandikia kwa sababu nataka. Na in a very selfish mode nafanya kwa ajili yangu mwenyewe, husband or no husband!

Hapa sasa naweza kukuelewa.

Ninachopata taabu kuelewa ni suala la kwamba watu hawataki kutandikiwa kwa kuwa wameolewa.

To me, it is a weak reason and below my comprehension!
 
Kwa hiyo unatishia watu kwa sababu una ID tatu? Huo ndo ujanja wako? Aisee!

Bora uje kuniokoa komando wangu. Naona usalama wangu uko hatarini sababu nina mawazo tafauti na baadhi ya wadau
 
Kabisa...wakijifanya kuweka pamba au vijiti mwishowe ndo inakuwa kila siku kesi katika ndoa. Muhimu ni kujua lengo la ndoa ni nini na kwa nini unaamua kuoa..misingi yake na makatazo yake, hakika utaishi kwa raha mustarehe
 
Tunaomba utusaidie kufafanua hayo malengo ya ndoa, misingi yake na makatazo yako...

Usisahau tunatoka kwenye jamii tofauti mkuu!!

Babu DC!!
 
mwenye masikio na asikie

Mkuu leo umeteleza!kuunga mkono mke kufanyiwa kila kitu na HG!sasa aliolewa ya nini?yeye majukumu yake nin?kumpa uroda tu mumewe?Hell NO,na michango mingi ya wadada humu ina-reflect hali halisi ya wake zetu wa siku hizi!jamani kaulizen maana ya Ndoa!nafikiri wengi mnaolewa just isemekane na nyie mmeolewa lakini kiuhalisia hamjui ndoa ni nini!siungi mkono mume to boss around without doin anything,but also siafiki kabisa mke kukaa na kuacha HG afanye even usafi wa chumba chenu!na si ajabu hata chupi za waume zenu kama mume hafui mwenyewe basi anapewa HG afue!
 
Tunaomba utusaidie kufafanua hayo malengo ya ndoa, misingi yake na makatazo yako...

Usisahau tunatoka kwenye jamii tofauti mkuu!!

Babu DC!!

Babu DC ...naomba unipe mda wa kutosha kufanya hilo jambo cause nimebwana hapa kidogo na vijishughuli (nafanya kuchungulia tu hapa JF), I have a very important presentation to make on Wednesday. Nahitaji niwe na mda wa kutosha kuliweka vizuri na naomba niitoe hii ishu kama thread ili ipate kuwasaidia na wengine na pia tupate mawazo tofauti ya wengine cause i believe i am not that much perfect na siwezi jua everything all alone..mawazo ya wengine pia muhimu. So worry not, nitalifanya hilo na nitaanzisha uzi rasmi wa hilo. Nitakujulisha once I post the thread mkuu. Hope umenielewa mkuu
 
Mkuu leo umeteleza!kuunga mkono mke kufanyiwa kila kitu na HG!sasa aliolewa ya nini?yeye majukumu yake nin?kumpa uroda tu mumewe?Hell NO,na michango mingi ya wadada humu ina-reflect hali halisi ya wake zetu wa siku hizi!jamani kaulizen maana ya Ndoa!nafikiri wengi mnaolewa just isemekane na nyie mmeolewa lakini kiuhalisia hamjui ndoa ni nini!siungi mkono mume to boss around without doin anything,but also siafiki kabisa mke kukaa na kuacha HG afanye even usafi wa chumba chenu!na si ajabu hata chupi za waume zenu kama mume hafui mwenyewe basi anapewa HG afue!

Naomba wakuu mnisaidie kufafanua hapa,

Hivi kama mashuka na nguo nyingine zinaoshwa kwa mashine, usafi unafanyika kwa mashine na mama ana majukumu mengine muhimu ya kikazi....kuna tatizo gani kuwaachia kazi kama hizo wasaidizi?

Au tunachukulia kwamba kila mwanamke ni mama wa nyumbani..?

Kumbukeni, kuna wanawake wengine ni maboss wetu na wana makumu hata yanayozidi ya kwetu. Kuachia vitu petty kama kutandika kitanda vikafanywa na wasaidizi wa familia kuna ubaya gani?

Au ndiyo tabia yetu kuwadharau wasichana wa ndani wakati wanatufanyia kazi nyeti kama kulea watoto na kutupikia chakula kila siku?

Babu DC!!
 
loo hii ya leo kali, mi ninajirani yangu mmoja sikumoja nimempa lift katika masoga akaropoka kua yeye kitanda kinatandikwa weekend kwa weekend!! loo nilichokaje??? yeye huyo mdada huwa tunawahi sana kuondoka huko tunako kaa kwaajili ya foleni za mjini.. saa kumi na moja na nusu tuka brbrni.. na mumewe ni mfanya biashara so huwa anamuachaga karibu mara zote. Sasa mume ni ile time ya mamwinyi fulani hivi.. yaani akiamka hata kukunja neti hawawezi.. so mwanamama akirudi jioni anaangalia watoto, maakuli na mambo mengine, mara muda wa kulala umefika wanaingia kwenye neti wanalala..
Kwa upande wangu mimi kwanza HG hajui hata kitanda changu kimegeukia upande gani hapo ndani na nina miaka naye miwili sasa na mtoto pia wa miaka miwili.
Kitu ninachofahamu ni kwamba maisha ni kusaidiana, nashukuru Mungu mume wangu ni muelewa sana sana tena sana na mara zote akiwa wa mwisho kuamka atatandika tu hana shida na wala sijafanya eti kuwa ndo jukumu lake.. no no najua ni jukumu langu but tunasaidiana kwenye mambo yote tu sio kutandika kitanda tu..

So wanaume wa JF kumsaidia mkeo sio eti unajihamishia majukumu no unadumisha upendo kwa kweli hata siku kama una mishe mishe zako ukashindwa kumsaidia mwenzio bado ataelewa tu tubadilike kwani maisha waloishi mama zetu ni tofauti na tunayoishi sasa. wamama zetu wengi walikua wa mama wa nyumbani sasa kama mama wa nyumbani ntakua sina sababu ya kusaidiwa shughuli km hiyo kwa kweli.
 
Mkuu leo umeteleza!kuunga mkono mke kufanyiwa kila kitu na HG!sasa aliolewa ya nini?yeye majukumu yake nin?kumpa uroda tu mumewe?Hell NO,na michango mingi ya wadada humu ina-reflect hali halisi ya wake zetu wa siku hizi!jamani kaulizen maana ya Ndoa!nafikiri wengi mnaolewa just isemekane na nyie mmeolewa lakini kiuhalisia hamjui ndoa ni nini!siungi mkono mume to boss around without doin anything,but also siafiki kabisa mke kukaa na kuacha HG afanye even usafi wa chumba chenu!na si ajabu hata chupi za waume zenu kama mume hafui mwenyewe basi anapewa HG afue!

Hapa sasa tuko pamoja...

Nasubiri maelezo yako!!

Babu DC!!
 
i like ur selfish mode

Babu bwana na wewe haujui mfano, agghhh! Umeamua kutubishia tu, but still i will hold onto it. Sikatai kutandikiwa kwa sababu ya mjukuu wako asijiibe, najitandikia kwa sababu nataka. Na in a very selfish mode nafanya kwa ajili yangu mwenyewe, husband or no husband!
 
wanandoa wanatakiwa kusaidiana,ila na hawa wanandoa wamekoosa ustaarabu,mambo ya chumbani wanagombania mbele za watu,,,,,,,hawana adabu,,,aibu ni yao wote,na iko palepale,,,,,aiibbuuuu

Halafu kisa eti kutandika kitanda! Yaani walishindwa kuambiana wenyewe mpaka wakaite umati?
 
Mkuu leo umeteleza!kuunga mkono mke kufanyiwa kila kitu na HG!sasa aliolewa ya nini?yeye majukumu yake nin?kumpa uroda tu mumewe?Hell NO,na michango mingi ya wadada humu ina-reflect hali halisi ya wake zetu wa siku hizi!jamani kaulizen maana ya Ndoa!nafikiri wengi mnaolewa just isemekane na nyie mmeolewa lakini kiuhalisia hamjui ndoa ni nini!siungi mkono mume to boss around without doin anything,but also siafiki kabisa mke kukaa na kuacha HG afanye even usafi wa chumba chenu!na si ajabu hata chupi za waume zenu kama mume hafui mwenyewe basi anapewa HG afue!

Sikubaliani na dada wa kazi kunifanyia usafi mpaka wa chumba let alone kutandika kitanda, lakini nafikiri wadada wengi 'ugomvi' wao mkubwa ni kuona mabadiliko kwa wababa. Issue ndogo kama ya kutandika kitanda, kweli yeye baba hawezi kufanya mpaka kuita umati na wasuluhishi utafikiri kesi ni ya ugoni! Mfano kama mke ni mtumishi, ambaye mbali ya majukumu mengine ya asubuhi nyumbani, anawahi kuondoka na anamuacha baba amelala. Akirudi jioni, hata neti haijafungwa, achilia mbali kutandika! Sasa ndio tusiseme kisa ndoa na majukumu ya ndoa!
 
loo hii ya leo kali, mi ninajirani yangu mmoja sikumoja nimempa lift katika masoga akaropoka kua yeye kitanda kinatandikwa weekend kwa weekend!! loo nilichokaje??? yeye huyo mdada huwa tunawahi sana kuondoka huko tunako kaa kwaajili ya foleni za mjini.. saa kumi na moja na nusu tuka brbrni.. na mumewe ni mfanya biashara so huwa anamuachaga karibu mara zote. Sasa mume ni ile time ya mamwinyi fulani hivi.. yaani akiamka hata kukunja neti hawawezi.. so mwanamama akirudi jioni anaangalia watoto, maakuli na mambo mengine, mara muda wa kulala umefika wanaingia kwenye neti wanalala..
Kwa upande wangu mimi kwanza HG hajui hata kitanda changu kimegeukia upande gani hapo ndani na nina miaka naye miwili sasa na mtoto pia wa miaka miwili.
Kitu ninachofahamu ni kwamba maisha ni kusaidiana, nashukuru Mungu mume wangu ni muelewa sana sana tena sana na mara zote akiwa wa mwisho kuamka atatandika tu hana shida na wala sijafanya eti kuwa ndo jukumu lake.. no no najua ni jukumu langu but tunasaidiana kwenye mambo yote tu sio kutandika kitanda tu..

So wanaume wa JF kumsaidia mkeo sio eti unajihamishia majukumu no unadumisha upendo kwa kweli hata siku kama una mishe mishe zako ukashindwa kumsaidia mwenzio bado ataelewa tu tubadilike kwani maisha waloishi mama zetu ni tofauti na tunayoishi sasa. wamama zetu wengi walikua wa mama wa nyumbani sasa kama mama wa nyumbani ntakua sina sababu ya kusaidiwa shughuli km hiyo kwa kweli.

Sawa cheupe sr,

Mbona sasa hujatueleza kwa nini hupendi house girl atandike kitanda chako?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sikubaliani na dada wa kazi kunifanyia usafi mpaka wa chumba let alone kutandika kitanda, lakini nafikiri wadada wengi 'ugomvi' wao mkubwa ni kuona mabadiliko kwa wababa. Issue ndogo kama ya kutandika kitanda, kweli yeye baba hawezi kufanya mpaka kuita umati na wasuluhishi utafikiri kesi ni ya ugoni! Mfano kama mke ni mtumishi, ambaye mbali ya majukumu mengine ya asubuhi nyumbani, anawahi kuondoka na anamuacha baba amelala. Akirudi jioni, hata neti haijafungwa, achilia mbali kutandika! Sasa ndio tusiseme kisa ndoa na majukumu ya ndoa!

Kwa nini Dina,

Nashangaa watu hawataki kutoa maelezo ili sie tunaofanya makosa tujirekebishe...!

Kesi ya mke kumwachia HG atandike kitanda kwangu siyo kesi na huyo mwanamume ningemshangaa sana...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu [B said:
asakuta same[/B], hapo nilipobold naomba nieleweke kwamba siungi mkono hg kuingia chumbani kwa baba na mama, let alone kutandika kitanda! Hoja yangu ilikuwa kwamba napata mashaka hiyo ndoa anayoizungumzia mtoa mada imejengwa katika misingi gani, maana ikiwa mnatafuta msuluhishi kwa vitu kama kupika, kufua na kutandika kitanda itakuwaje kwa mambo mengine makubwa zaidi? Tena tatizo sio kwamba hizo kazi hazifanyiki bali tatizo ni kuwa zinafanywa na hg! Ndio maana nikasema kama unaoa ili ufuliwe, upikiwe na kutandikiwa kitanda basi hapo kuna tatizo kubwa sana. Ni vema pia mume ujue kutandika kitanda maana sio kila siku mkeo atakuwepo nyumbani.

Nakupongeza kwa kuamua kutohoji maana kutaepusha mengi, ila nikushauri ikikutokea mkeo hatandiki kitanda usimuulize bali mkiamka asubuhi mwambie ashike shuka upande ule na wewe shika upande mwingine mtandike kitanda. Ukifanya hivyo mara mbili tu naamini atajifunza na kutandika kitanda yeye mwenyewe, la kama kuna tatizo kubwa zaidi linalomsababisha amwachie hg hiyo kazi.

Binafsi napenda kumhudumia mume kadri niwezavyo but sometimes najiuliza nawezaje: mke ameajiriwa DSM, ana changamoto ya long work hours na foleni barabarani - akitoka kazini saa 11 basi huenda akafika home saa 1 usiku au late zaidi. Swali anapika saa ngapi? Kikubwa anachoweza kufanya ni kuset standards na kuzisimamia kuhakikisha chakula mnachokula ni bora kwa afya zenu; akiwahi basi ni heri zaidi - maana atapika mwenyewe.

Suppose tuna washing machine na tumble drier, kuna ubaya gani tukiweka nguo kwenye laundry basket (sio nguo za ndani na hiyo basket inakaa laundry room) then hg afue? Hii ni katika kurahisisha kazi kwa mama.

Naelewa wapo wanaume hupenda kuona wake zao ndio wanawafanyia hivyo vyote lakini ni vema wakiwa understanding kulingana na mazingira na hali halisi. Ikiwa mama ni house wife, sioni sababu ya kushindwa kufanya hizi kazi za nyumbani.

hongera kama huwa unajitahidi kutimiza zako kama mke na nashukuru kwa kuandika kwa kirefu..............ila naomba nirespond katika sehemu tatu:

1.hapo kwenye nyekundu juu kabisa; ni kweli siyo kila siku mke atakuwepo nyumbani na haimaanishi ninavyosema siwezi kudeal na domestic issues kuwa mimi sina uwezo wa kufanya ,ikitokea wife hayupo hilo linakuwa ni jukumu langu inabidi nikaimu madaraka kutoka kwa mama kama baba mwenye nyumba na hata kuset standards za domestic issues linakuwa ni jukumu langu otherwise nikijitenga kwa ukauzu mambo yataharibika.

2.hapo penye blue; hapana aseeeh! siwezi kufanya hivyo eti kisa yeye hatimizi eti mimi nijaribu kummotivate ,narudia kusema nitatandika kitanda kwa kupenda mwenyewe ila siyo kwasababu hakuna mtu mwingine anayetandika especial wife wangu.

3.hapo blue na underline; that is what am talking about wife kama mother house ni jukumu lako kuset standards nyumbani na kuzisimamia siyo chakula kimepikwa kibichi eti na mimi nianze kumgombeza mpisha ,dah! aseeeeh! hyapo heshima itashuka kwakweli............. siwezi kamwe kuwa msimamizi wa shughuli za kila siku za nyumbani ,in short mama/wife ni kama waziri mkuu wa serikali ya familia nyumbani ,nitaingilia tu panapohitajika ufafanuzi au utatuzi wa migogoro tena hapo ni wife akiniSOS.
 
waambie.wanawake wa siku hizi wanalazimishia ndoa just for show,kwamba na flani anaolewa michango kibao sherehe kuubwa ya maonyesho but majukumu yao hawayatambui.hv kweli mwanamke na akili zako unamruhusu hg anaingia chumbani kwako kirahisi tu,kesho ukimkuta anapigwa nanihh na mumeo utamlaumu nani?ananifulia,ananipelekea maji bafuni,ananipikia chakula kitamu cha kiafrika,kwa nini nisitake kuthibitisha kama na mamboz anayajua?

kwa hiyo unakuwa na mwanamke kwa sababu anakupikia au kukutandikia kitanda tu, umeoa hg
 
Swali zuri sana marrykate?

Kitu gani ninamfanya mtu kuwa mke? Ni kupika, kutandika kitanda na kazi nyingine za ndani??

Na kwa wale wanaofanyakazi za kiofisi ambazo ni demanding kiasi kwamba muda unawabana tunawafikiria??

Nadhani tunafikiria kwa ufinyu mno...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom