Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,652
Duuuu ... Ni bora tulale hapo kwa kitanda bila kutandika till when I get my annual leave kuliko house girl anitandikie.
Na usafi wa rum atafanya pale tu hali yangu ya afya hairuhusu ful stop.
Babu Dark City hope ushatoa mawaidha yako hapa lol .. Hali si hali.
BY THE WAY; hiv husband akija akakuta hg yupo bize kutandika si ndo mwanzo wa kumgawia utamu wangu ..
Ngoja nikatandike mie jua lishazama sasa!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ahsante sana neggirl kwa mwaliko....
Itabidi nitafute muda wa kupitia pitia uzi huu ili niutendee haki....
Kama utakumbuka tulipoishia kwenye ule uzi mwingine....mazingira ya mahali mnapoishi na shughuli zenu zinaathiri ssana aina ya maisha mnayoweza kuishi...
Kwa upande wetu na bibi, ukweli ni kwamba wasaidizi wa ndani (sipendi kuwadharau kwa kutumia baadhi ya majina ya kuwananga) wanatusaidia kazi nyingi ikiwemo usafi wa chumba chetu na kutandika....
Hatuna tatizo na hilo jambo kabisa...By the way, bibi siyo kibarua wa familia, ni partner wa Babu!!
Babu DC!!!
Last edited by a moderator: