We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

hata huo ubabu wenyewe unao utaja ninamashaka nao lol!! huenda ukawa DC bibi!!

Ndugu yangu Stamina,

Naomba sana ujibu hoja...kama unajaribu kuleta matusi utaharibu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu dc, labda nihitimishe hivii, kulala afu utandikiwe kitanda ni sawa na kuingia chooni ujisaidie, afu aje mtu mwingine kuflush just becoz you can afford it! Na sijui kwa nini hotelini tunatandikiwa, labda ili tusigeuze ama kuchana mashuka?

No please King'asti,

Hivi kitanda chako huwa unakiacha kichafu kama choo??

Nadhani umekosea katika kutafuta kitu cha kutolea mfano...

Kama hotelini unakubali kutandikiwa, why not home??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
acha kudharau watu wewe?! masterbed room kitu gani?! ungejua maisha yangu yalivyo nadhani ungefyata mkia!! toa hoja!!
 
DC kama kweli wewe ni mwafrika huwezi kutetea hoja "eti ma- house galz" wawatandikie vitanda fatherhouse!! how comes?!
 
matusi unaleta wewe!! kumwambia mtu "nenda ukavute BANGI" sio tusi kwako sio?! ndio maana nina mashaka na UBABU wako lol
 
acha kudharau watu wewe?! masterbed room kitu gani?! ungejua maisha yangu yalivyo nadhani ungefyata mkia!! toa hoja!!

Sasa kama unawatukana wengine mbona hutaki kutukana??

Tulia basi tujadili mada...JF huwa hakuna matusi.....Labda kama unataka uwanja wa matusi, basi tuwaombe wahusika wawawekee ili mkaoneshane kazi huko...

Hapa sie tunapiga story na kupunguza stress.....

Babu DC!!
 
DC kama kweli wewe ni mwafrika huwezi kutetea hoja "eti ma- house galz" wawatandikie vitanda fatherhouse!! how comes?!

Kama shida ni mjadala, usiingize matusi bwana Stamina....

Kuhusu Uafrika au la, naomba nikujibu kuwa ni watu wachache sana waonaishi mjini wameendelea kuishi traditional life...

Ndiyo maana mimi sioni shida kwa mhudumu wa ndani kufanya usafi kwenye chumba changu na mke wangu...

Na hilo halinifanye niwe nusu Babu au ubabu wangu ufe....bado una hoja??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
sikia wewe mimi niko JF nina miaka kadhaa sawa?! usibabaike na hii ID yangu?! nina ID kama tatu upo?! so tusitishane!!
 
ubabu wako peleke hukooo!! hapa kila mtu anachangia hoja!! hutaki kukosolewa tokaaaa!! sio lazima uchangie!! sawa kaka?!
 
matusi umeanza wewe don't denied it, kumwambia mtu anavuta BANGI sio tusi?! me huwa nampa mtu MAKAVU LIVE ya USO sifichi
 
Yani nyinyi wake zetu mnatia aibu sana, nimetoka kusuluhisha ugomvi kwa jamaa yangu, ugomvi ulikuwa mkubwa sana ila source mshkaji kachoka kutandikiwa kitanda na beki tatu so akamuuliza mkewe kama huyu dada anafua, ananipikia na bado ananitandikia kitanda hv nikwanini namnyima haki yake ya unyumba? mwanamke almanusura apasuke, ugomvi umesuluhishwa ila vipande nimempa, shame on u na wewe kama ni mmoja wao.

Kwa hiyo mkeo ulimuoa ili aje kuwa house girl wako in exchange of unyumba?

Hizo ni taadhima tu na zinaportray usmart and ofcoz zimekuwa favoured kwenu
so msijitie kiburi mpaka kuwatukania wake zenu!
 
-------[B said:
ila majukumu yangu ya msingi nitayatimiza effectively --------------.[/B]

Haswa hebu tudokeze, ukitoa sex, jukumu lipi jingine unapromise kulitimiza EFFECTIVELLY?

huwa nauliza wanaume wengi hili swali, hawana jibu.
Yani jukumu ambalo na sie tuwashikie bango, na iwe aibu mwanaume asipolifanya, tuseme SHAME ON YOU, YANI UNAACHA MKE WAKO BILA KUMFANYIA----?
 
Kwa hiyo mkeo ulimuoa ili aje kuwa house girl wako in exchange of unyumba?

Hizo ni taadhima tu na zinaportray usmart and ofcoz zimekuwa favoured kwenu
so msijitie kiburi mpaka kuwatukania wake zenu!
Niko na wewe Kipipi,

Mke siyo house girl na yeyote anayefikiri hivyo kapotoka.
 
Last edited by a moderator:
Ni wajibu na sio lazima kumtumikia kipenzi mume wangu,kazi zote za kike nafanya marufuku mtu kumtengea mume wangu chakula hata kama sipo achukue mwenyewe,maji ya kuoga hajawahi tengewa na kiumbe yyte,kufua n.k kwenye swalka lakutandika pia ni wajibu wangu ilathis yr imebidi HG anitandikie kwa siku moja moja nina mtoto mdogo han ahata mwaka so nalala naye na nikiamka kwenda kazini namwacha amelala sasa akiamka inabidi dada anyooshe shuka la sivyo huo ni wajibu wangu na huwa sijisikii vzr nasubiri nimwamishe tu dogo.mume wangu ni mfalme wangu so how comes mfalme atandike kitanda na mie kijakazi nipo?hahahaha ukiamua kuolewa shurti ulalae uchieeee mpo
 
matusi umeanza wewe don't denied it, kumwambia mtu anavuta BANGI sio tusi?! me huwa nampa mtu MAKAVU LIVE ya USO sifichi
Naomba urudie posts zako zote na ukikuta mie ndiye nimeanza kukutukana nitakuomba radhi wewe na wanajamvi wote.
 
Ni wajibu na sio lazima kumtumikia kipenzi mume wangu,kazi zote za kike nafanya marufuku mtu kumtengea mume wangu chakula hata kama sipo achukue mwenyewe,maji ya kuoga hajawahi tengewa na kiumbe yyte,kufua n.k kwenye swalka lakutandika pia ni wajibu wangu ilathis yr imebidi HG anitandikie kwa siku moja moja nina mtoto mdogo han ahata mwaka so nalala naye na nikiamka kwenda kazini namwacha amelala sasa akiamka inabidi dada anyooshe shuka la sivyo huo ni wajibu wangu na huwa sijisikii vzr nasubiri nimwamishe tu dogo.mume wangu ni mfalme wangu so how comes mfalme atandike kitanda na mie kijakazi nipo?hahahaha ukiamua kuolewa shurti ulalae uchieeee mpo
Wewe ni traditional au modern wife?
 
kurudia posts ni kupoteza muda ukweli unao mwenyewe! sipendi malumbano let go ahed!! westernization or modernization?!
 
Sikujua wanawake wengine mnaishi kwa mashaka kiasi hicho...

Kwani hayo makitu mnayamwaga hovyo chumbani??

Bado nahitaji kuelezwa vizuei ili nielewe...

Babu DC!!

Aaaah babu unakua kama hujaota ndevu za ulimi bwana!!!!!!! Wewe na bibi mnamwagiana hayo makitu wapi zain vodacom zantel au 0713 au unakinga kwenye glass for juice eee!!!!???? alafu babu maumbile utofautiana kwani ya bibi inakifuniko nn ukicheua tu kina funga mbaaaa!!!!!???? Aaaaah baaabu au umezeeka mpaka ikulu that's why mambo ya kuogeshana yale makitu na bibi umesahau????? Babu ww pia tukwambie why chumbani ni private place jamani babu kule jandoni hamkufundishwa nini???? Baaabu dc pokea hiyo babu najua wajua ila wataka kujua zaidi nitakujuza ila usimwambie bibi atasema nakuzeesha haraka njoo pm chumba kidogo cha siri nikujuze giza hili babu mjukuu amening'ang'ania subiri nizioge kidogo
 
Unamwambia ya nini beki 3 akifanya hivyo ni mama katoa nafasi ya upendeleo kwa beki 3 tandika......
 
chwechinyong;5434907]Kauli za vijana wa enzi hizi ambazo hupelekea kupatikana definition ya aina ya wake wanaowaoa....
1: Nimechoka kupika, kula kwa mama ntilie au mahotelini : Inamaana huyu anaoa mpishi
2: Nimechoshwa na hayamambo ya kufua mwenyewe kila siku/wikiend: anaoa dobi huyu
3: Nyumba/Chumba changu kiko rafu sana kuna haja ya kuoa sasa: Huyu anaoa mke kwa maana ya housegirl wife
4: Rafiki zangu wote wameoa au naona umri umeenda sana, nami ni bora nioe: Huyu anaoa but si kwa definition halisi ya ndoa bali kwa kulazimishwa na mazingira

Ndoa za namna hii nyingi hukumbwa na migogoro endapo lengo la muoaji halijafikiwa..mfano kupikiwa, kufuliwa n.k

NB: Wanawake kuweni makini sana na mjue ni lipi lengo hasa la mwanaume anaetaka kukuoa
kweli kabisa, mi nafikiri wakati huo huo definition ya kuolewa kwa wadada iwepo isijekuwa anaolewa asijue nini wajibu wake kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom