We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

We mwanamke inakuwaje unatandikiwa kitanda?

Sawa mwanaume ni mvivu, lakini haitajustfy kumuingiza hausigelo chumbani kwangu aisee. Ever since naanza kujitegemea, sijawahi tandikiwa kitanda na hgelo wala kufanyiwa usafi naye.

heri yako wewe unayetambua limitis zako ,siyo wengine hapa kushabikia hata visivyohitaji ushabiki.
 
Sawa mwanaume ni mvivu, lakini haitajustfy kumuingiza hausigelo chumbani kwangu aisee. Ever since naanza kujitegemea, sijawahi tandikiwa kitanda na hgelo wala kufanyiwa usafi naye.

waambie.wanawake wa siku hizi wanalazimishia ndoa just for show,kwamba na flani anaolewa michango kibao sherehe kuubwa ya maonyesho but majukumu yao hawayatambui.hv kweli mwanamke na akili zako unamruhusu hg anaingia chumbani kwako kirahisi tu,kesho ukimkuta anapigwa nanihh na mumeo utamlaumu nani?ananifulia,ananipelekea maji bafuni,ananipikia chakula kitamu cha kiafrika,kwa nini nisitake kuthibitisha kama na mamboz anayajua?
 
kumbe mtu akikutandikia kitanda tu, anastahili kupewa haki ya unyumba?

Hotelini je?

Itabidi tutafute 'definition' ya ndoa kwanza

sio kutandikiwa kitanda tu,chumba chako na mumeo ni kama pepo yenu!!!sasa mfano ndo hg ameingia chumbani ghafla amenikuta mtupu coz si ni sehemu yangu ya kujiachia?heshima itabaki hapo?hiyo ni aibu kwa mwanamke wa kiafrika,uwajibikaji wako unaanzia ndani kwako na kama pamekushinda huna hata hadhi ya kuitwa mke!!!we mzugaji tuuu
 
i understand ni wajibu na nitautimiza ,ila expecting me to deal with domestic issues ,,,,,hell no! na zisipotimizwa na mwingine i wont ask kwakweli ,siwezi kuwa na huo muda kama mkuu wa kaya( kichwani kwangu kutakuwa na vitu vya muhimu kuliko huo ujinga wa kuangalia kama kitanda kimetandikwa au laa)

hata mwanamke hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kumuambia man wake afanye domestic work.....
hutokea mwanaume yeye mwenyewe kwa mapenzi yake kumsaidia mkewe!!!
 
sio kutandikiwa kitanda tu,chumba chako na mumeo ni kama pepo yenu!!!sasa mfano ndo hg ameingia chumbani ghafla amenikuta mtupu coz si ni sehemu yangu ya kujiachia?heshima itabaki hapo?hiyo ni aibu kwa mwanamke wa kiafrika,uwajibikaji wako unaanzia ndani kwako na kama pamekushinda huna hata hadhi ya kuitwa mke!!!we mzugaji tuuu

haya ni matatizo ya kutaka haki bila wajibu ndiyo yanatufikisha hapa mkuu
 
hata mwanamke hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kumuambia man wake afanye domestic work.....
hutokea mwanaume yeye mwenyewe kwa mapenzi yake kumsaidia mkewe!!!

ndiyo hiyo case hapo juu inafanana na ulichokiandika hapa?
the only mistake huyo mume alichofanya ni kuanza kuhoji hoji hayo mambo ya domestic ,kama wife wake anaona its not a problem kwa hg kuingilia privacy yao yeye angetemana na huo ujinga.

baba anatoka asubuhi mapema anarudi jioni/usiku ,akifika anasalimia anaulizia hali ya nyumbani ,km kunatatizo n.k....then kama ana muda anasociliz na wanafamilia ila siyo mambo ya kuanza kuulizia shughuli za nyumbani.....mimi hata chakula kikiwa kibichi silalamiki ,ila sitakula kijiko cha kwanza nanyanyuka zangu huyoo kwa bedroom au Bar
 
ni wajibu wala sio ombi kumshughulikia mwanamke wako!
hutaki acha njemba zikusaidie!!!

Ndivyo wengi mlivyo siku hizi, issue kidogo ooh kama hutaki acha wenzio watakusaidia, hiyo ni hurka tu ya mtu. Kama soyo mwaminifu ktk ndoa ataku hivyo tu hata umfanyie nini. Mabinti Wa siku hizi uvivu mwingiiiii na heshima kwa waume hamna, wanaingia kwenye ndoa Kama fashion tu ili waonekane kuwa na wao wameolewa lakini yale maadili ya ndoa ni zero kabisa.

Mi mtu hanitishii kutoka nje we ukitaka toka tu ila nikigundua sina mjadala na mtu yeyote but nakutimua fasta na naleta mwingine. Siwezi kujitesa kukaa bila mwanamke ilihali wamejaa tele. Yanini kung'ang'ania gumegume niliyekupata kwa bahati mbaya kwa kuwa ulivaa ngozi ya kondoo wakati Wa urafiki na uchumba na ukaficha makucha yako na kuja kuyakunjua baada ya ndoa.
 
Nani anaependa kubabaishwa!!!!!!!
ndoa kwangu ni ndoto tu hiyo...
 
mwanaume angeanza kwanza ndipo mwanamke apate somo kwamba mumewe anataka nn?
 
ndiyo hiyo case hapo juu inafanana na ulichokiandika hapa?
the only mistake huyo mume alichofanya ni kuanza kuhoji hoji hayo mambo ya domestic ,kama wife wake anaona its not a problem kwa hg kuingilia privacy yao yeye angetemana na huo ujinga.

baba anatoka asubuhi mapema anarudi jioni/usiku ,akifika anasalimia anaulizia hali ya nyumbani ,km kunatatizo n.k....then kama ana muda anasociliz na wanafamilia ila siyo mambo ya kuanza kuulizia shughuli za nyumbani.....mimi hata chakula kikiwa kibichi silalamiki ,ila sitakula kijiko cha kwanza nanyanyuka zangu huyoo kwa bedroom au Bar

Huna mazoea na wahudumu wa Bar wewe??? Nimekushtukia mkuu! wacha mara moja.
 
Baadhi ya wanaume wanawaona wake zao kama robbot! kwani ukimsaidia kutandika hicho kitanda utakuwaje?yani mwanaume anajifanya utadhani ni disable hawezi kumsaidia mkewe hata kazi ndogo kisa tu YEYE NI MWANAUME ptuuuu na uanaume wako huko!!!!!
dot com utawajua tu ila ingekua domestic works inafanyika kwa facebook aaaaahhhhh...usinge hata sema robot...
 
Je, we MWANAUME inakuwaje utandikiwe kitanda?Kama unapenda kuishi kifalme shurti awepo kibaraka, mkeo nae akikataa kuwa kibaraka wako na kutaka kuishi kimalkia shurti atafute wa kuwa chini yake.

Wewe unavyopenda kubweteka tu na kufanyiwa kila kitu na mkeo ndivyo na yeye anavyopenda vile vile. Hivyo amua wote muwe mnajishughulisha kwa kiasi fulani na shughuli za nyumbani ama wote mtegee. Sio unamhukumu mkeo, kumbe na wewe ni wale wale. Tofauti ni maumbile tu.

umemaliza mkuu
 
Ndivyo wengi mlivyo siku hizi, issue kidogo ooh kama hutaki acha wenzio watakusaidia, hiyo ni hurka tu ya mtu. Kama soyo mwaminifu ktk ndoa ataku hivyo tu hata umfanyie nini. Mabinti Wa siku hizi uvivu mwingiiiii na heshima kwa waume hamna, wanaingia kwenye ndoa Kama fashion tu ili waonekane kuwa na wao wameolewa lakini yale maadili ya ndoa ni zero kabisa.

Mi mtu hanitishii kutoka nje we ukitaka toka tu ila nikigundua sina mjadala na mtu yeyote but nakutimua fasta na naleta mwingine. Siwezi kujitesa kukaa bila mwanamke ilihali wamejaa tele. Yanini kung'ang'ania gumegume niliyekupata kwa bahati mbaya kwa kuwa ulivaa ngozi ya kondoo wakati Wa urafiki na uchumba na ukaficha makucha yako na kuja kuyakunjua baada ya ndoa.

mkuu hivyo ndiyo visngizio vyao siku hizi ,kumbe ile force ya uzinzi ipo ndani yao hapo wanatafuta visababu tu. ....kama yeye ni kunguru hafugiki ni wa kazi gani ,atoke nje lakini nisijue ila nikijua haina excuse (hiyo kwangu ni sawa na umekula chakula cha mgonjwa ,mgonjwa akafa njaa)

Huna mazoea na wahudumu wa Bar wewe??? Nimekushtukia mkuu! wacha mara moja.

sina mazoea nao mimi ,sasa wewe ndiyo baba mwenye nyumba .....mama mwenye nyumba haangalii majukumu yake vizuri hg kapika chakula kibichi utakaa uanze kugombaa....hapana aseeh! kama sina njaa ya maana nitalala hivyo hivyo ila kama nina njaa huyoo mtaani nikatafute msosi (sasa hapo iwe Bar au Hoteli inategemea na siku hiyo).

msichana atafua tena baadhi ya nguo zetu na kazi nyingine lakinj chumba changu haikubaliki kuanzia usafi hadi kutandika

waojitambua na kutambua limits zao kama wewe ni wachache sana siku hizi,,,,,,,,, yaani utakuta hg yupo free na chumba chenu kama vile anaingia sebuleni..... hongera sana dada yangu ,huwezi kumkaribisha muasi ikulu
 
Kauli za vijana wa enzi hizi ambazo hupelekea kupatikana definition ya aina ya wake wanaowaoa....
1: Nimechoka kupika, kula kwa mama ntilie au mahotelini : Inamaana huyu anaoa mpishi
2: Nimechoshwa na hayamambo ya kufua mwenyewe kila siku/wikiend: anaoa dobi huyu
3: Nyumba/Chumba changu kiko rafu sana kuna haja ya kuoa sasa: Huyu anaoa mke kwa maana ya housegirl wife
4: Rafiki zangu wote wameoa au naona umri umeenda sana, nami ni bora nioe: Huyu anaoa but si kwa definition halisi ya ndoa bali kwa kulazimishwa na mazingira

Ndoa za namna hii nyingi hukumbwa na migogoro endapo lengo la muoaji halijafikiwa..mfano kupikiwa, kufuliwa n.k

NB: Wanawake kuweni makini sana na mjue ni lipi lengo hasa la mwanaume anaetaka kukuoa

mwenye masikio na asikie
 
Tangazo.
Nauza vitanda ambavyo vimetandikwa shuka kabisa.
Vitanda vipo vya size zote, ila nimebobea sana kwa vile vya wanandoa.
Ewe mwanaume,uonapo tangazo hili mtaarifu na mwanaume mwenzio.
Kwa mawasiliano na order, tuma barua pepe kwenda kitanda_kilichotandikwa@gmall.co.tz.
 
Yani nyinyi wake zetu mnatia aibu sana, nimetoka kusuluhisha ugomvi kwa jamaa yangu, ugomvi ulikuwa mkubwa sana ila source mshkaji kachoka kutandikiwa kitanda na beki tatu so akamuuliza mkewe kama huyu dada anafua, ananipikia na bado ananitandikia kitanda hv nikwanini namnyima haki yake ya unyumba? mwanamke almanusura apasuke, ugomvi umesuluhishwa ila vipande nimempa, shame on u na wewe kama ni mmoja wao.

Mjenda Chilo
Ugomvi mwingine ni _______________ mtupu! I'd have sympathazied kama issue ya jamaa ingekuwa kitanda chao hakitandikwi,but not who is making the bed? Duh, kwa kweli siielewi hiyo shame unayoongelea ,kwani kazi ya mke kwenye ndoa ni kutandika kitanda:shut-mouth:!!!!???
 
Back
Top Bottom