miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Ni kama sijaelewa kitu hapa.
Mmeo kadondokewa
Ni kama sijaelewa kitu hapa.
Nishafika mkuu, ngoja nipitie wasifu wake kwanza,
Si unajua huu msimu wa sikukuu una mengi??
Mkuu ya nini kuwa mkali mkuu??Huu utoto wenu wa kujianzishia sredi utaisha lini? au kwa vile shule za msingi zimefungwa?
daah asavali umekuja mkuu, moyo hauna macho na ndio hivyo umeshakudondokea. hebu mfikirie mwenzio na umpe japo nafasi katika huo mtima wako....Nishafika mkuu, ngoja nipitie wasifu wake kwanza,
Si unajua huu msimu wa sikukuu una mengi??
Naona hujui msisimuko anaoupata mtu anapoanzishiwa sridi kama hii....
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........
nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee
Ha ha ha ha aiseee kwenye mambo kama haya mie huwa nasisimuka kichogoni tu aiseeeeHahaha!!
Hebu tueleze mkuu, weye umesisimuka sehemu gani ya mwili baada ya kuanzishiwa sredi?
Usihofu Demba , lazima nifanye mambo, yaonekana mtoto wa watu anakula mingo tangu 2012?? dahdaah asavali umekuja mkuu, moyo hauna macho na ndio hivyo umeshakudondokea. hebu mfikirie mwenzio na umpe japo nafasi katika huo mtima wako....
Jitahidi upitie kule PM
Usihofu Demba , lazima nifanye mambo, yaonekana mtoto wa watu anakula mingo tangu 2012?? dah
Kumbe mpaka ukubwani kule napo ananifuatiliaga banaaa
Mwenzenu namaliza mwaka vizuri sana mie
Miss niko kwa PM namalizia kazi aliyokwisha ianzisha kwenyewe..
Bahati iliyojeeeee
Ha ha ha ha aiseee kwenye mambo kama haya mie huwa nasisimuka kichogoni tu aiseeee
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.
Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.
Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.
Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.
Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.
Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.
We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.
Mmhh!! kaswali kengine kadogo ka mwisho...
Unaongelea uchogo wa kichwa kipi vile???
Mpwa pole sana kwa kichapo mlichopokea leo
Amu
Mwambie akipata ujumbe huu aminye tu kitufe cha LIKE hapo juu mie karoho kataridhika
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee