Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
hahaha dah natamani ningekuwa mimi ngoja na mimi nianze kuimprove kwenye comment.Pole sana.
Nati ishapata spana yake
hahaha dah natamani ningekuwa mimi ngoja na mimi nianze kuimprove kwenye comment.Pole sana.
Nati ishapata spana yake
hahaha dah natamani ningekuwa mimi ngoja na mimi nianze kuimprove kwenye comment.
Ha ha ha aisee umenikumbusha enzi izo za leMambo club pale Mabibo hostel nilikua sikosi ladie free jtano , alhamisi na jumapili yaani full kubamba vitoto vya buguruni hukoo
Dah haya maisha banaa safari ndefu sana aiseeee
Sure thing.......mdada yeyote aliekuwa big fan wa Madenge utotoni
ataku notice tu kiaina...
Madenge those days alikuwa hot kuliko Denzel ....
warembo wa kumwaga wanamzikia hadi leo...
Amu
Mwambie akipata ujumbe huu aminye tu kitufe cha LIKE hapo juu mie karoho kataridhika
Nami nakupenda white girl comnt zako zanifanya niwe hoi
Pesa ya kununua mkate usihofu as long as your white sina gharama za mkorogo
Ha ha ha kijanaa ule ulikua ujana bwana , ushapita yaani siku hizi nimepooza mbwembwe zote kwisha kabisaHa hsaaaa!!!! Na ile kukatiza na Boxer kwenye korido...aiseeeee we Jamaa kiboko
anaitwa james asigwa ni mzuri wa sura na weusi wa kuvutia
very intelligent darasani na nje ya darasa matokeo yake ni div one single digit olevel na advance pcm..na chuo ni balaa
very funny mzaha mwingiii lakini serious kwenye mambo muhimu.
...he is the man from lake zone Cc😡asigwa
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.
Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.
Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.
Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.
Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.
Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.
We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.