network busy..................!
Kwa jinsi avatar yako ilivyo, ingelipendeza kama ungebadili herufi ya kwanza "s" ya username yako....
network busy..................!
Ndio ni wanaume bana nataka niburudikee nao si unajua maisha mafupi haya raha jipe mwenyeweee
Ok,ok,ok,ok,ok!!!!!!!!!!!!!!!!!!
anaitwa james asigwa ni mzuri wa sura na weusi wa kuvutia
very intelligent darasani na nje ya darasa matokeo yake ni div one single digit olevel na advance pcm..na chuo ni balaa
very funny mzaha mwingiii lakini serious kwenye mambo muhimu.
...he is the man from lake zone Cc😡asigwa
Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.
Hahah mpwa shukrani...nanyi hongereni sana watani
Kila la kheri!!!
Ila tambua tu kuwa ukimwi upo na unaua
Nndiye huyo huyo , naona response yake zero, ngoja nimvagae kwa PM, kutwa mara tatu,
asubuhi PM mbili, mchana mbili, jioni mbili mpaka atalegeza tu, anajifanya hardcore...lol
hv wewe avatar yako ni ya nani?
ahahahahaha mi id yako siikumbuki bana
...nishaikosa tena....inaumaje!irudishe kama ni wewe afu ka toto la kinyruanda utakosa bahati ohooo
Ukimwi upo hata nisipoupata lazima ntakufaa tu ajali nyingi,maraliaa kwa hiyo sio ukimwi pekee yake
Okay miss 'ntakufa tu' dunia ni yako, chaguo ni lako pia...
Hapo ndipo nakuwa na wakati mgumu kutambua kweli wanawake wanapenda au wanatamani unaweza penda mtu kwa coments zake.
sema banaa hiyo avatar yako ni nani?Do you love me??
Wengine tunafall in love na akili ya mtu na sio sura wala shape. Inawezekana kumpenda mtu kwa comments bila kumjua.