We jamaa, nakupenda ujue

Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.

mama ushaona pm yangu embu ni jibu fasta nishafika pole sana kwa kuumia moyo..
 
Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.

Wengine tunafall in love na akili ya mtu na sio sura wala shape. Inawezekana kumpenda mtu kwa comments bila kumjua.
 
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.

kama sura yako inafanana na avator yako halafu ndo unampenda huyo jamaa, dah nasikiaje wivu!
inabidi niwe Sokomoko ili kupotezea!
 
Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.
Mkuu nadhani haya ni mapinduzi halisi ya kizazi hiki, tia maji manake kesho mwingine anaweza kukufungukia.
 
Humu ndani kuna kitu
kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu
unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments
zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu
zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa
wengine humu ndani.

Mkuu, nadhani kumpenda mtu kuna maana pana sana, pia silazima weupende ninachopenda mimi.
Mtu anaweza akapenda au kupendwa kwajinsi anavyo ongea, vaa, tembea, sura, umbile, coments, hair styles and ect:-
 
Back
Top Bottom