We jamaa, nakupenda ujue

We jamaa, nakupenda ujue

Hahahhaahhahaha humu ukiingua lazima ucheke watu wanamajibu kama vile walijiandaa miaka saba
 
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.

umenipendea nn kapuku mimi
 
anaitwa james asigwa ni mzuri wa sura na weusi wa kuvutia

very intelligent darasani na nje ya darasa matokeo yake ni div one single digit olevel na advance pcm..na chuo ni balaa

very funny mzaha mwingiii lakini serious kwenye mambo muhimu.
...he is the man from lake zone Cc😡asigwa
 
Back
Top Bottom