We jamaa, nakupenda ujue

Safi saaaana maana kaona akisema anatafuta mvmcumba mtamjazia PM tu zisizo na msingi. Haya kajichagulia mwenyewe. Na mimi natafuta kabinti au kalikokomaa kidogo tusaidiane
 
Mchumba jilipue tu mwaya,
Inatokeaga sana tu!! tunapenda mwanaume na hajui km unampenda unaishia kuumia rohoni, funguka upate amani moyoni, hata akikukataa dukuduku lako ushalitoa.
 
Last edited by a moderator:
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.
mimi hunipendi changamkia fursa twenzetu
 
Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.

Belive u me MOST of the times what someone says in real life or incognito tells a lot about thier character.
 
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.

Copy: asigwa
 
Last edited by a moderator:
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee
 
Jamani mtafuteni huyo mwenye bahati hii kabla jua halijazama awe amewasili hapa.
 
Back
Top Bottom