sema banaa hiyo avatar yako ni nani?
aahahhahaha
doyunt yu?
question tag unazikumbuka wewe?
We jamaa utakua CIA, teh teh tehanaitwa james asigwa ni mzuri wa sura na weusi wa kuvutia
very intelligent darasani na nje ya darasa matokeo yake ni div one single digit olevel na advance pcm..na chuo ni balaa
very funny mzaha mwingiii lakini serious kwenye mambo muhimu.
...he is the man from lake zone Cc😡asigwa
Ha hsaaaa!!!!duuu nakumbuka tuuu manyang'au nyang'au yako kudadadeki....haya Bwana jilie vyako....We jamaa utakua CIA, teh teh teh
Aisee naona umemwaga mpaka visivyotakiwa kumwagwa..
Ngoja kwanza nikufuate PM
Maumivu ya moyo yakizidi inabidi ujilipue tu mwaya...lol
Ha ha ha aisee umenikumbusha enzi izo za leMambo club pale Mabibo hostel nilikua sikosi ladie free jtano , alhamisi na jumapili yaani full kubamba vitoto vya buguruni hukooHa hsaaaa!!!!duuu nakumbuka tuuu manyang'au nyang'au yako kudadadeki....haya Bwana jilie vyako....
bora januari ifike murudi vyuoni tuongee mambo ya kikubwa
Mkuu huwezi ipata labda ubadili avartarNingepata bahati kama hiyo mimi ningeenda kuuza shamba la baba
Jilipue tuNa mie ngoja nijilipue kuna jamaa nampenda sana humu.
Jilipue tu
Mwaka unaenda kuisha huu
Tatizo yuko siriaz sana na hajawahi kuni quote wala kunipa like yake!!
Haya mpenz nimesha kupa like na nimesha ku quote sasa tuhamie PM tusiwape faida watu.
Mkuu huwezi ipata labda ubadili avartar
wacha niangalie upya...mbona avatar yako sio ya madenge?