We jamaa, nakupenda ujue

We jamaa, nakupenda ujue

pole sana Mchumba.maumivu yako yamenirejesha miaka kadhaa nyuma nikiwa secondary.dada mmoja ambaye tulikuwa wote kidato kimoja ila madarasa tofauti (yeye class A mimi class B) alipo amua kuuvaa ujasiri na kunitamkia yaliyo moyoni mwake kuwa ANANIPENDA SANA.dah ni hadithi ndefu ila sio siri umenikumbusha mbali sana.
 
Last edited by a moderator:
Vipi mkuu Asamwa, Mchumba ndo ameshatoa ya moyoni sijui unaujalije moyoni wake, Weka hadharani bwana usiishie PM. Weka upenuni kama yeye alivyoweka upenuni, ahahahahahaaaa! Halafu mkuu rudisha avatar. Yako!
Hujaelewa nini?! Mwenzio keshapenda........
 
Last edited by a moderator:
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.
KWENYE RED, hayo ndo mambo yaliyonikosesha bahati hivi hivi.
 
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee

jilipue kama mwenzio hapo juu
 
Usipate shida, huyo jamaa anapenda sana kukaa pale hongera bar, unaweza mvizia pale.
 
Na wewe badili hiyo avatar au weka jina black man hunion mim dada yakoo
haya dada nitabadili jina. kabla sijabadili naomba unijibu hili. msaada vp kuna jukwaa la wakubwa hapa JF na kama lipo mnalipataje maana silioni
 
Jaman hata kuna wanaume wawili humu nawapenda kweli japo siwajui lakin napenda maneno yao mmoja ni..........nashindwa hata kumsema wawili siku nikiwabahatisha watanikomajeeeeee
utawaweza wote 2? na watakukoma kivipi?
 
Mapenzi bwana!

Wengine wanajitokeza kusaka wenza hapa jukwaani na picha wanaweka lakini wanaambulia kejeli Tu.

Huyu jamaa yeye ni Avatar Tu tena ya MADENGE na comments zake mtu Hoi!!!!

Mchumba umeua watu ujue,hivi nyie majamaa ambao mpaka sasa thread zenu zimesanda bila PM mnafeel aje? Ama kweli.
 
haya dada nitabadili jina. kabla sijabadili naomba unijibu hili. msaada vp kuna jukwaa la wakubwa hapa JF na kama lipo mnalipataje maana silioni

Mtumie sms invissible sijui ndio wanamuitaa hivyoo, atakupeleka hukoo
 
Niko nae hapa nishamwambia anasema 'i love u too' kiss kiss kiss
 
Mchumba, kuna mtu mmoja humu anaitwa asigwa!!

nahisi yeye ndiye ana kiavatar cha madenge akiwa anajishika kichwani hivi kama sijakosea!!

haya jiandae kula pendo!
Nndiye huyo huyo , naona response yake zero, ngoja nimvagae kwa PM, kutwa mara tatu,

asubuhi PM mbili, mchana mbili, jioni mbili mpaka atalegeza tu, anajifanya hardcore...lol
 
Humu ndani kuna kitu kinanichanganya. Ina maana watu wanajuana phyisicaly au. Kwa sababu unapompenda mtu si inabidi uwe umemuona. Au unampenda mtu kwa comments zake. Kama ni kwa comments sidhani kama kuna love hapo. Muda si mrefu zitakuja mada mpya za Majuto hapa na habari za X kama tulivyoona kwa wengine humu ndani.
Wanaopenda kwa kuona ni wanaume, ladies tunaongozwa na hisia tu.

I can judge you by your comments dude, hii ni siri wanawake tunayo kwa moyo
 
Wengine tunafall in love na akili ya mtu na sio sura wala shape. Inawezekana kumpenda mtu kwa comments bila kumjua.
Hii kitu most men hawajui,

Waambie shost, we judge them not only by the size of their pockets but also by what we hear from them
 
Mchumba jilipue tu mwaya,
Inatokeaga sana tu!! tunapenda mwanaume na hajui km unampenda unaishia kuumia rohoni, funguka upate amani moyoni, hata akikukataa dukuduku lako ushalitoa.
Kweli mwaya,

Kwa nini nife kijerumani na tai shingoni wakati keybord ya kutype ninayo??
 
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.

Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani.

Wajameni naombeni mumfikishie huu ujumbe popote pale alipo kwani anakaumiza haka kamoyo kangu.

Ni mtu wa jokes sana kwenye comments zake kama ilivyo avartar yake, ila inaonekana ni mtu intelligent sana, majukwaa anayopendelea ni MMU, SIASA, UCHUMI, PHOTOS, CHIT CHAT na JOKES.

Nimemuwinda kule kwa wakubwa tangu 2012 nimpe za uso namna anavyonitesa mie ila haonekani.

Naomba mnisaidie kumfikishia huu ujumbe popote pale mtakapomuona.

We jamaa acha kunitesa, nishakupenda ujue.

Huu utoto wenu wa kujianzishia sredi utaisha lini? au kwa vile shule za msingi zimefungwa?
 
Back
Top Bottom