WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

Nimependa sana Zuchu alivyoswitch kama ana rap hiv kwenye ngoma ya Quarantine hii inathibitisha Diamond anapenda sana kumsign msanii anayeweza kuimba aina nyingi ya mziki.

Namnukuu "Binafsi napenda kumsign msanii anayeweza kuimba aina nyingi ya mziki ili mashabiki wasimchoke".

Huyu dada nilimkubali kuna wimbo mmoja unaitwa "Two by two" hapo akiwa bado hajasign rasmi WCB aliimba bongo fleva fulani halisi isio changanywa na maadhi ya pwani kifupi yupo good ila sikujua pia anauwezo wa kurap

Big up Sana kwake
 
Back
Top Bottom