WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,226
2,000
Huyu mtoto zuchu jaman , kaimba kama Nicki Minaj aisee , huyu mtoto ni balaaa, ukiacha chorus , part ya huyu mtoto ni 🔥, anayefuatia lava lava all in all hili dude la kibabe Sana , director Kenny ni nouma ila kaniboa Kwa kuminya resolution, angeiachia
 

Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
2,460
2,000
Yaani kundi hilo lote la watu wamekaa chini wakaona waje na takataka kama hii
Huu wimbo ni takataka
Ya kawaida sanaa, nyimbo ya kiwango cha chini,

Kupenda kubaya sana yaani mnaona kabisa hili chongo we unasema kengeza

BubbleGum Music

Chibunye kaisha wazee
Jimbo baya. Baya. Baya
Hakuna wimbo hapo yani siku zote ray van ndo alikua anatunga hapo "mama kajikata" acheni masikhara af kuna wapumbavu ndo wanataka mlinganisha na konde

Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteni kwa kutazama Video na kuview, Mna weza mkalala sasa kupunguza stress zinazo weza kuwalete vifo

Dark Side
 
Top Bottom