Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,131
Jumapili tunakwenda kusheherekea wapi?Yani dah
komesha korona
Jumapili tunakwenda kusheherekea wapi?Yani dah
komesha korona
ushabiki wa aina hii ndo unatakiwa, kama kitu kikali unakua muwazi sio kama ushabiki wa yule beki3 robidinyoYani kumbe ushabiki wenu hamko huru kutoa honest opinion kwasababu unampenda msanii wa upande mwingine?
SAWA MAMA NTILIEHuu ni utopolo..
huu ndo wimbo wa kwanza wa wcb producer laizer kubadilisha sampo za bits.
Nina hakika huu wimbo utaozesha dodo.
ni wimbo mkali sana tangia afariki michael jackson.kenny ni nyoko
Sent using Jamii Forums mobile app
AhhaahhahMbona hata alkiba alitoa Ebora dance sema hakupenda show off ,wimbo ulipigwa lubumbashi
Robidinyo mchawi tu uyo.ana lolotesi-comment chochote mpaka brother Robidinyo apitishe