IFRS
JF-Expert Member
- Dec 19, 2014
- 2,920
- 5,267
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzieAna sura nzito kama uji wa magimbi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzieAna sura nzito kama uji wa magimbi
Nimewauliza wenzako hapo juu na wewe nakuuliza unipe jibu,Ni wewe umeandika haya kweli...!?
Aisee!!
Sijatazama nimesikilizaAsanteni kwa kutazama Video na kuview, Mna weza mkalala sasa kupunguza stress zinazo weza kuwalete vifo
Dark Side
Hongera Mkuu...Nimewauliza wenzako hapo juu na wewe nakuuliza unipe jibu,
Huu ushabiki wenu unawanyima uhuru wa kutoa honest opinion kwasababu tu unamkubali msanii wa upande mwingine??
Swali langu gumu ehh 🤣🤣🤣Hongera Mkuu...


kwahyo na hii ni nyimbo ya kushindanisha kabsaa. Aisee umekosa kaz za kufanya
JEJE ina 2 months; 17M views, means per month (approximately) ilikua inapata 8.5M views... Sasa hayo maembe yana mwezi mmoja 5M views na bado yanasuasua unaenda mwezi wa pili huu. 


muonekano mpya wa jamii forum umenyata kweli yani hauvutiiNyimbo ya diamond imeshindwa kufikisha views milion1 ndani ya Massa 24/siku1,ambapo nyimbo ya dodo alikiba ilifikisha views milion1 ndani ya Massa 24 tu!!
Mi nimeupenda Mkuu.muonekano mpya wa jamii forum umenyata kweli yani hauvutii