WAZUNGU what do you think of them?

Kwa hiyo mulattoes wenye white (non negroid feature) skin na pua nene na midomo minene ni weusi au siyo?

Manake Brazil hawa wanajulikana kama weupe lakini Marekani wanajulikana kama weusi.Na ma aborigine wa Australia na Papua New Guinea nao ni weusi? Je wahindi weusi?
 
Kwa hiyo mulattoes wenye white (non negroid feature) skin na pua nene na midomo minene ni weusi au siyo?

Manake Brazil hawa wanajulikana kama weupe lakini Marekani wanajulikana kama weusi.Na ma aborigine wa Australia na Papua New Guinea nao ni weusi? Je wahindi weusi?

Actually, to be scientifically accurate mulattoes are both black and white. They can't be one and not the other.

Now whether here in America they are known or classified as being black and in Brazil as being white, to me that is an issue of semantics and prejudice.
 
080305-dwarf-vmed-9a.widec.jpg
Calm down people!! :)
 
080305-dwarf-vmed-9a.widec.jpg
Calm down people!! :)

Yap tena hii hapa juu ndo picha halisi ya n'zungu, We SteveD umihipata wapi hii, maana iminikumbusha mbali sana... ah ah ah...! Una juwa watu wengi hawajui kwa nini babu na bibi zetu waliwaita watu hawa wazungu? Neno ambalo linatokana na neno 'Mizungu' Walikuwa na maana ya watu wa maajabu, watu wasio julikana, kama mizimu vile... Na pia walijulikana kama watu wazurulaji wasio na maana yaani watu wenye wazimu na wenye tamaa ya vile visivyo vyao...
'to wander around aimlessly, like a mad person.' Na hii ndio tafsir ya neno mzungu... kazi yao kuzungukz zunguka huku na huko...! hope umenipata. Hata wewe waweza kuwa mzungu ukifata tabia hizo hapo juu.
 
Either kazini au sehemu mbali mbali...baada ya kukaa nao,kusoma nao na kufanya kazi nao i they wont sieze to come up with some interesting and no so interesting things. hebu tupeane mbinu za kudeal na hawa watu.

Mimi naweza kusema kuwa nakaribia kuwa graduate wa hawa binadamu so you got qns plse ask

Tafuta kitabu kinachoitwa 'The Key to the Colors'
 
Back
Top Bottom