Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 799
Either kazini au sehemu mbali mbali...baada ya kukaa nao,kusoma nao na kufanya kazi nao i they wont sieze to come up with some interesting and no so interesting things. hebu tupeane mbinu za kudeal na hawa watu.
Mimi naweza kusema kuwa nakaribia kuwa graduate wa hawa binadamu so you got qns plse ask
Mimi naweza kusema kuwa nakaribia kuwa graduate wa hawa binadamu so you got qns plse ask