Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,689
- 3,267
Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions).
Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu simple wa zamani ulikuwa mzuri sana.
Hizi McMansions na wanavyozichamba.
Naona sisi tumeamua kujenga vi MiniMcMansions.