CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Ni mwanangu wa kumzaa na anasoma std3.huyo mtoto hasomi?
huna mpango na huyo mtoto?
Inakuwaje unawataka waachia watu kirahisi au si mwanao?
Ingekuwa vizuri kama we nae ungekuwa unaishi huko holland ili iwe rahisi kutrack kinachoendelea
Offcourse that's why nimewaomba tuonane ingawa inaonyesha wako very interesting na hata sasa wako nyumbani kwa mother wakijaribu kupata history ndogo na wanarecord baadhi ya picha na mazingira ya nyumbani kwetu kijijini.Ingieni mkataba nao,unaweza kuwa unamtembelea kila baada ya miezi mitatu au aje yeye tz,,gharama zao,,mkataba uthibitishwe nakusimamiwa na serikali kupitia wizara ya wamama watoto na jinsia,,elimu mpaka chuo,na mambo mengine,
Mtani nilikua nina 100% kwamba my soon atakua mtu wa football maana hiyo mi surprise ya jezi na njumu niliyokua namnunulia usipime,badala yake upepo umegeuka,kwa kweli mtani huyu dogo ni mbavu kishenzi,maana ata mamake alishashindwa kudhibiti kwa stick that's why nikampeleka bush.Maana nilihisi labda picha za kichina zimemuharibu.Mtani umezaa Tyson? kama ana kipaji bembeleza mama yake dogo aanze kuingiza hela badala ya kupiga watu mtaani na wewe kuingia gharama za kutibu watu.
Kama ni shule atasoma huko huko, make sure unafuata taratibu za kisheria au kama hujui tafuta wakili akuelekeze taratibu zote na akuwakilishe wakati hao Waholand wanamchukua kama mtakubaliana masharti.
Ahsante kwa ushauri!Bado mdogo sana huyo kumkabidhi kwa watu usiowafahamu. Wazungu si watu wa kuamini wanaweza kabisa wakawa wanamgeuza mwanamke. Kama una mtu huko Holland (Mtanzania) unayemwamini kumfuatilia mwanao kwa karibu sana hakuna tatizo vinginevyo OGOPA!!!
Wakurya bwana! Kumbe ngumi ziko ktk damu. Iko siku hata baba yake atapigwa ngumi! Amang'ana gasarikile tata! Strike the hammer while iron is still hot!nimesoma hii nimebaki nacheka mwenyewe..🙂:🙂
Mtani umezaa Tyson? kama ana kipaji bembeleza mama yake dogo aanze kuingiza hela badala ya kupiga watu mtaani na wewe kuingia gharama za kutibu watu.
Kama ni shule atasoma huko huko, make sure unafuata taratibu za kisheria au kama hujui tafuta wakili akuelekeze taratibu zote na akuwakilishe wakati hao Waholand wanamchukua kama mtakubaliana masharti.
Kweli kabisa coz mayweather floyd jr alikuwa na historia kama hii.Mtani umezaa Tyson? kama ana kipaji bembeleza mama yake dogo aanze kuingiza hela badala ya kupiga watu mtaani na wewe kuingia gharama za kutibu watu.