heri mimi sijasema! :bump2:Wakurya bwana! Kumbe ngumi ziko ktk damu. Iko siku hata baba yake atapigwa ngumi! Amang'ana gasarikile tata! Strike the hammer while iron is still hot!
Hivi huu ulimbukeni wa ukabila unawapa faida gani??? Kumbe kina Matumla wote, Cheka, Tyson, Evander,Mayweather na wanamasumbwi wengineo ni Wakurya?! Shame on you all wagonjwa wa ukabila.Wakurya bwana! Kumbe ngumi ziko ktk damu. Iko siku hata baba yake atapigwa ngumi! Amang'ana gasarikile tata! Strike the hammer while iron is still hot!
Wakuu nina mtoto wa kiume ambaye ndiye first bone wangu mwenye miaka9,huyo dogo nilikua nikiishi nae hapa dar,lakini nilikua nikipata kesi nyingi za ugomvi every day,mwaka jana nikakata shauri nikampeleka kwa bibi yake yaani mamangu mzazi kijijini kwetu Musoma.......wiki iliyopita nilipigiwa simu na mamangu kwamba dogo kampiga dogo mwenzie mwenye miaka 12 mpaka kamng'oa meno kwahiyo kuna kesi na inatakiwa elfu70 ya matibabu,nikatuma hiyo pesa.Leo asubuhi nimepigiwa simu tena kwamba jana kulikua na mashindano ya box(ngumi)kuanzia watoto wa miaka 10-15,bcoz my soon ni mdogo aliamua kudanganya umri kwamba ana11 na anauwezo wa kupigana then akaruhusiwa kupigana,mdogo wangu ndiye aliyetoa ruksa hiyo kwa lengo la kumkomesha dogo ili adundwe aache ugomvi mtaani,cha ajabu dogo alipafom mpaka jukwaa zima wakawa wanamshangilia,alipigana pambano1 na alishinda kwa round ya kwanza tena kwa kumpiga ngumi6 tuu adui yake,na akapata zawadi ya tsh150,000 cash,sasa kuna jamaa wa holland wana academy ya box kenya wamempenda dogo wanataka wamchukue waende nae kenya na baadae holland wamesema nikiwakabidhi wao watamuhudumia kila kitu mpaka atakapofikisha umri wa kujitegemea na akifikisha miaka 12 wataanza kumlipa some amounts,nimewambia waje dar tuonane na watakuja ijumaa this week.Nipo tayari kumwachia but mamake hataki kusikia habari hiyo ya ngumi,pls ushauri.

Elimu muhimu hasa fikra elimu ya kuishi na watu na kuzisoma tabia mtu usipokuwa makini utalia ndani ya roho chozi alitoki.nimesoma hii nimebaki nacheka mwenyewe..:
Nilikuwa sijatizama hii Kumbe ni yatoka mwaka 2012 ? Nilijua mada ya huu mwaka hata Mie ningependa kujua kafikia wapi Dogo ?Mkuu mandieta, Vipi dogo alishaenda Holland? Kama bado je anaendeleaje kwasasa akiwa na 11yrs? Tupe mrejesho kaka!
CC: Mwana kinyonga ; dandabo; Zogwale; kazikubwa
Mtani nilikua nina 100% kwamba my soon atakua mtu wa football maana hiyo mi surprise ya jezi na njumu niliyokua namnunulia usipime,badala yake upepo umegeuka,kwa kweli mtani huyu dogo ni mbavu kishenzi,maana ata mamake alishashindwa kudhibiti kwa stick that's why nikampeleka bush.Maana nilihisi labda picha za kichina zimemuharibu.
Mhhh inatisha.Kuna kaka tunafahamiana, mwanae wa kujifunzia alichukuliwa kwa staili hii. Kumbe akawa anatumika kusafirisha madawa ya kulevya. Alikuja kufia China, in a hotel baada ya vidonge kupasukia tumboni. Mamake hakuweza hata ku-claim mwili kwa hofu.
Kuwa extra careful aisee!