Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 887
- 2,201
Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
NGONI MIGRATIONSwali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
Mwanaume anayehangaika kuulizia sifa za potential wife mitandaoni ni bwege mtozeniSwali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
SadSio wachoyo kwa maX wao Bora umuue X hatamwacha. Ninao watatu wameolewa hata Leo Nikita napewa.
Kuwa na mchepuko ni haki yake,vipaumbele vyao ni ushirikina,ulevi,sherehe na ngono (siyo tendo la ndoa).Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
Wanapenda maokoto?Maokoto ya kutosha yapo??